Naomba ufafanuzi: Upendo Peneza kwenye ziara ya Waziri Mkuu Ruangwa

Gazeti la Uhuru limetoa ufafanuzi kuntu kuhusu Mbunge huyo. soma gazeti la UHURU la leo 14/07/2017 lenye ISSN 0876-3896 Na 22808. Habari kamili katika gazeti hilo ipo ukurasa wa 16.
 
Huyo mtoto wallahi Daaah! Halafu unakuta kuna jitu linamliza mchana na usiku kucha kwa kutokujibu SMS au kuchepuka pembeni. Wanaume kweli sisi ni wajivuni. Nilikutana nae Airpot wallahi nilijichanganya nikatoa kadi ya chanjo badala ya passport.

Mkuu Salute kwako! Hakuna jinsi, kwa picha hizo na tuone atayebisha!
 
Huyo mtoto wallahi Daaah! Halafu unakuta kuna jitu linamliza mchana na usiku kucha kwa kutokujibu SMS au kuchepuka pembeni. Wanaume kweli sisi ni wajivuni. Nilikutana nae Airpot wallahi nilijichanganya nikatoa kadi ya chanjo badala ya passport.
Hahahaaa

Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
 
Nimeona Upendo Peneza viti maalum Chadema kwenye ziara ya Waziri Mkuu wilayani Ruangwa wakigawa pikipiki kwa vijana wa ccm.....Naomba ufafanuzi hiyo ziara inahusiana na nini.?

=============================
Updates

Mbunge viti maalum CHADEMA kutoka Mkoa wa wa Geita, Upendo Peneza ameungana na wabunge wa CUF wa Mkoa wa Lindi katika ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika mkoa huo.

Katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Shule ya msingi Likangara wilayani Ruangwa, Peneza amewaomba wananchi waliombee taifa ili liendelee kuwa na amani pamoja na kuwaombea viongozi wa kisiasa wawe na uvumilivu ili wazidi kusonga mbele kimaendeleo.

"Wananchi wa Ruangwa nawatakia maisha mema ili mzidi kusonga mbele, tuombee amani ya nchi yetu na mtuombee viongozi tuwe na uvumilivu wa kisiasa."

Mbali na Upendo, pia mkutano huo ulihudhuriwa na wabunge wengine ambao ni Hassan Masala (Nachingwea), Zubery Kuchauka (Liwale), Hassan Kaunje (Lindi Mjini) na Hamida Abdalaah (Viti Maalumu).

Kwa pamoja wabunge hao wamesema lengo la kushiriki kwenye ziara hiyo ni kuunga mkono jitihada zinazofanywa na serikali ya awamu ya tano katika kuwaletea wananchi maendeleo

Chanzo Azam news.

My take....
Je hii inaashiria nini kwa chama cha Chadema, je Chedema kimegawanyika rasmi kuhusu serikali ya Magufuli.?
Au nae amenunuliwa kama madiwani wa Arumeru.
Nyie Chadema, hebu acheni ujinga wenu, pelekeni majina ya wabunge wenu 19 wa viti maalum, pimeni pros na cons za kususa muone nini kina faida zaidi, hata kama sio kwa Chadema as chama, then waachieni fursa za ajira wanawake wenu 19, tena nashauri priority iwe ni kwa wale waliogombea majimboni.

Just imagine, mtu kama huyu kukosekana Bungeni?.
Acheni hizo, pelekeni majina.

P
 
Kupeleka hao wabunge ni kuhalalisha a.k.a. kubariki yaliyofanyika katika kile kilichoitwa uchaguzi.
 
Si Kuna wapya, huna picha zao tuone kama wanafaa kuziba mapengo..maana kwenye kura za maoni kulikuwa na vitu hatari Sijui kama vyote vilichinjiwa baharini.

pasco
 
Nyie Chadema, hebu acheni ujinga wenu, pelekeni majina ya wabunge wenu 19 wa viti maalum, pimeni pros na cons za kususa muone nini kina faida zaidi, hata kama sio kwa Chadema as chama, then waachieni fursa za ajira wanawake wenu 19, tena nashauri priority iwe ni kwa wale waliogombea majimboni.

Just imagine, mtu kama huyu kukosekana Bungeni?.
Acheni hizo, pelekeni majina.

P
Kama mnataka wanawake si wapo kina Zuchu, Wema nk kwanini kuwataka wa Chadema ambao hawawataki maana mnasema wanakwamisha maendeleo?
Pascal acha kutukera bwana, HATUTAKI HILO BUNGE LENU.
 
Kupeleka hao wabunge ni kuhalalisha a.k.a. kubariki yaliyofanyika katika kile kilichoitwa uchaguzi.
Nyie danganyweni tu na raia wa ubelgiji Lissu, yeye anakwenda kula bata ulaya, chama kinakosa wawakilishi, kinakosa hela kinakosa platform kinakufa, kinaibuka chama kingine kidogo tu kinasonga mbele, kumbuka kabla ya chadema chama kikuu cha upinzani kilikuwa ni NCCR MAGEUZI, ni kilivyosusasusa mambo kikadhoofika, sasa nyie msikilizeni tu mwananchi wa Ubelgiji, akirudi 2025 anaibukia NLD au TADEA mambo yake yanakwenda, akili za kuambiwa changanya na za kwako
 
Nyie Chadema, hebu acheni ujinga wenu, pelekeni majina ya wabunge wenu 19 wa viti maalum, pimeni pros na cons za kususa muone nini kina faida zaidi, hata kama sio kwa Chadema as chama, then waachieni fursa za ajira wanawake wenu 19, tena nashauri priority iwe ni kwa wale waliogombea majimboni.

Just imagine, mtu kama huyu kukosekana Bungeni?.
Acheni hizo, pelekeni majina.

P
Bunge la sasa halihitaji watu ambao kazi yao ni kupinga pinga acha wasuse ili tupate maendeleo kwa haraka zaidi. Kwanza watakuwa wameokoa gharama za posho, mishahara na viinua mgongo.
 
Nyie Chadema, hebu acheni ujinga wenu, pelekeni majina ya wabunge wenu 19 wa viti maalum, pimeni pros na cons za kususa muone nini kina faida zaidi, hata kama sio kwa Chadema as chama, then waachieni fursa za ajira wanawake wenu 19, tena nashauri priority iwe ni kwa wale waliogombea majimboni.

Just imagine, mtu kama huyu kukosekana Bungeni?.
Acheni hizo, pelekeni majina.

P
Kama mnataka tupeleke hao wabunge mwambieni huyo Jiwe kwanza arudishe kwanza hela za rambirambi alizoiba na alipe fidia kwa watu wa Korosho
 
Mtoto Upendo dah! toto la milioni dolari, sijui nifanyeje ili niwe nae? Yan kaniingia hasa, hako kasura, umbo na rangi ndio maradhi yangu mie mzee Hamidu.

Nataka nimuowe huyo binti, nitamlipa miye mshahara na marupurupu yake yote ya ubunge. Nilikuwa wapi siku zote sijamuona?
 
Back
Top Bottom