Naomba ufafanuzi kuhusu ulaji wa mafuta wa gari hii

Jstar1

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,389
1,337
Hii ni sawa kwa gari lenye 1290CC, kutembea 220 KM, mjini na AC ikiwa ON kwa mafuta ya elfu hamsini, Rafiki anauliza hii no sawa au kuna tatizo mahali.
 
umesema mjini inawezekana maana mifoleni! ingekuwa highway anetoka Dar mpaka dodoma
 
Hii ni sawa kwa gari lenye 1290CC Tena toyota kutembea 230 KM, mjini na AC ikiwa ON kwa mafuta ya elfu hamsini, Rafiki anauliza hii no sawa au kuna tatizo mahali tujuzane, au iko sahihi.

Asije kiduku lilo
 
Mkuu kwa Dar inawezekana kwa vile mimi navyoona.
Kipimo sahihi kama ataenda nalo mkoa
 
Hii ni sawa kwa gari lenye 1290CC, kutembea 220 KM, mjini na AC ikiwa ON kwa mafuta ya elfu hamsini, Rafiki anauliza hii no sawa au kuna tatizo mahali.
Gari ukiweka fuel ya 50,000 unapata lita ngapi? Kuna gari ina CC 1300? Ni ya kufanyia nini hiyo gari? Au unaamanisha chombo cha usafiri? Ukipata hata mil 50,000,000 nunua gari ndogo uenjoy. Achana na hicho kidude unachotumia sasa.
 
Hii ni sawa kwa gari lenye 1290CC, kutembea 220 KM, mjini na AC ikiwa ON kwa mafuta ya elfu hamsini, Rafiki anauliza hii no sawa au kuna tatizo mahali.
Mwambie rafiki yako aachane na mambo ya magari, hayawezi kabisa atafute pikipiki tu!
 
Back
Top Bottom