Naomba ufafanuzi kuhusu torrents

Naomba ufafanuzi kuhusu torrents

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Kwa wale wenye ujuzi na torrents.... seeders and leechers zinamaanisha nini na zina kazi gani katika torrent file..... maana kuna torrent moja nimekuta watu wanalaumu kuhusu leechers and seeders. ni vema kujua mengi.
 
Ukisha download file kutoka Torent na ukabaki online kuwaachia wengine wadownload kutoka kweko ndo unaitwa SEEDER na unapodown na wakati huo huo unaupload (huna file Zima katika computer yako) ndo LEECHER). Ukitaka kudownload haraka angalia file lenye seeders wengi.
 
seeders maana yake ni wapandaji (kupanda mbegu) ...yaani wao tayari wanalo hilo faili unalotaka kulidownload na wameliacha liendelee kuwa online ili na wengine nao waweze kudownload kutoka kwao..yaan ndo wana seed..

na leechers ni kinyume na seeders, yaani wao hawana hilo faili kabisa au sehem ya hilo faili so wao kwa kiasi kikubwa wanakuwa wanadownload kutoka kwa seeders na kuna uwezekano mtu akawa ni leecher na seeder at the same time maana anaweza akawa anadownload kile ambacho hana na ku upload kwa wengine kile ambacho anacho from the same file/folder. na ndo maana ikaitwa p2p (peer to peer) sharing.

so wewe unapotaka kudownload kitu ni vyema ukatafuta kile checnye seeders wengi kuliko leechers sababu inamaanisha kuwa hilo file tayari watu wengi wameshalidownload na wameliacha online ili wengine walidownload kwa urahisi na litakuwa na speed nzuri kwa kudownload maana leechers ( wachumaji) ni wachache na ndo maana watumiaji wa torrents wanahimiza sana watu ku seed ili faili ulilolidownload leo kesh na mwenzako alikute bado lipo hewani nae adownload.
 
utajuwa vipi km faili lina SEEDERS wengi au kinyume chake
 
utajuwa vipi km faili lina SEEDERS wengi au kinyume chake

Mkuu mbona hio kitu ukifungua tuu website za torrents inaonekana tuu
attachment.php


Mfano hii nimefungua kat.ph seeders na leechers wanaonekana kwenye hzo columns
 

Attachments

  • dded4d1cb0b6b620238fa25277996cd6.jpg
    dded4d1cb0b6b620238fa25277996cd6.jpg
    25 KB · Views: 140
Back
Top Bottom