Huu ni ufinyaji wa Uhuru wa habariHabari wana jamvi! Naomba kujuzwa hii kanuni mpya za mitandao na ada zake maana hapa naziona ni kubwa mno yaanai kuwa na website lazima ulipie ada ya 1M au kwa mwaka hata km website yako si ya biashara yaani haikuingizii au mimi nimeelewa vibaya. View attachment 739037
Acha umavi wewe,kàma huelewi tafuta mtu akuelewesheHuu ni ufinyaji wa Uhuru wa habari
Acha umavi wewe,kàma huelewi tafuta mtu akueleweshe
NDO UMUELEWESHE SASAAcha umavi wewe,kàma huelewi tafuta mtu akueleweshe
Huu ndo Umavi sasaAcha umavi wewe,kàma huelewi tafuta mtu akueleweshe
Kwa hiyo busara zako zote zimeishia kwenye kutukana? Weka hoja mezani sio matusi. Kama uliona nimekosea, ungenisahihisha. Matusi yamekusaidia nini sasa?Acha umavi wewe,kàma huelewi tafuta mtu akueleweshe
Bujibuji Leo umepatikanaKwa hiyo busara zako zote zimeishia kwenye kutukana? Weka hoja mezani sio matusi. Kama uliona nimekosea, ungenisahihisha. Matusi yamekusaidia nini sasa?
Ameshinda matusi sio hoja. Immaturity ni tatizo kubwa kwa wana JF wapyaBujibuji Leo umepatikana
Soma comment yake hapa chini, utajua kuwa anaongozwa na Mahaba ya kikanda Na sio facts.Bujibuji Leo umepatikana
Mkuu ulivyo taja tu masanza kona umenikumbusha mbali sana sehem za nyumbani hizo kuna magu,masanza kona,sogeska pale,kuna mwamanyili,jineri,ñyamikoma,nyashimo busega n.k n.k
Hayo maeneo yangu sanaaaaa
Ukanda umefikaje tena my dear???Soma comment yake hapa chini, utajua kuwa anaongozwa na Mahaba ya kikanda Na sio facts.
screenshot my previous comment. nimem QUOTE akielezea yeye anataka wapi. (Anatoka kanda ya ziwa).Uk
Ukanda umefikaje tena my dear???