Naomba ufafanuzi kuhusu Degree ya GIS and Remote Sensing

Wadau naombeni msaada kuhusu hii kozi inahusu nini na kazi zake unafanya wapi
Inahusu data na uhusiano wake na eneo lolote la kijiografia.
Kupata kazi itabidi uanze na degree nyingine, halafu ndiyo usome GIS.
Kwa mfano, Agric, Env. Sciences, Geography, Statistics, Mtereology, Public Health etc...
Utahitajika sana kwenye kutengeneza au kutumia algorithms zinazohusisha data zozote zile na Geographical location.
Hii ina-include mpaka surveying (digital).
 
So na sisi wenye BscEd tunaweza kuisoma masters yake sio.
 
Bachelors ... Masters siyo degree ya kufanyia kazi au kupata utaalam.
Uwe na Bachelors mbili.
Ni sawa na degree ya Sheria, ni vizuri ukawa na degree kwanza, ndiyo ukasomee sheria, hapo utapata kazi kirahisi zaidi na utatusua interviews nyingi kuliko mwenye degree ya sheria peke yake.
 
Nmekupata vyema mkuu Kobello ngoja nilifanyie kazi hili.
Shukran sana tena sana.
 
Ajira zake
Telecommunication systems
Satellite security and army
Navigation and aviation
Climatology
Teaching and training in colleges and universities

Hizo zote kuwe na vifaa vyake vya kisasa ambavyo tanzania hakuna.
Hata elimu wengine wanafundisha kwa kuonyesha picha ya vifaa tu.
 
Shukrani mkuu nimepata mwangaza
 
Back
Top Bottom