Naomba ufafanuzi kuhusu Degree ya GIS and Remote Sensing

Ukiwa mtaalamu wa GIS(Geographical information system) na remote sensing uhakikishe unakuwa mtaalam sana upate GPA ya kutosha Ili ukihitimu ukasome masters Amin nakwambia utapata pesa sana coz university nyingi hazina wataalam wa hio course though mm nimeisoma kwenye GE314 kama sikosei lakin sio ngumu sana ni kawaida sana
 
Kwa digrii kazi hupati
 
Sidhani kama itakuwa worthy . Kusoma kunatakiwa u set plan nzuri kuwa unasoma GIS ajira zimekaaje? Fursa gan unayoweza pata Kwa kusomea kitu flan? Fanya maamuzi sahihi
 
Hii degree ni Sawa na ile ya oil and gas. Haina future sana Na kimsingi ni Kwa wachache. Kupata kazi Tanzania ni almost impossible Na hata za kimataifa sio rahisi kwa mtanzania kupata sababu inafundishwa kwa kiwango cha chini hapa kwetu kwani hatuna vifaa Na practicals za kutosha.
 
Ajira zake zinakuwa sehemu gani
 
Hii degree ni Sawa na ile ya oil and gas. Haina future sana Na kimsingi ni Kwa wachache. Kupata kazi Tanzania ni almost impossible Na hata za kimataifa sio rahisi kwa mtanzania kupata sababu inafundishwa kwa kiwango cha chini hapa kwetu kwani hatuna vifaa Na practicals za kutosha.
Asante sana boss...
 
Back
Top Bottom