Naomba ufafanuzi kuhusu Contract of Permanent Employment

Sphory

Member
Dec 22, 2012
34
7
Habar wana Forum,

Naomba msaada wa kufaham utaratibu mzima wa mkataba wa kudum.
Hasa pale unapohitaj kujua haki zako za msingi.

Nitashukuru nikipata msaada wenu maana sie wengine hatuna ujuzi wowote kuhusu sheria
 
Upo private sector au public?...kwenye private sector, huko kuna fixed term contract Sana. Ila Public, kuna permanent and pensionable. Na huu upo Kwa mujibu wa Sheria PSA, na Kanuni zake za mwaka 2003. Sheria ndio inakuongoza hapo. Ingawa hata Public sector, kuna fixed term pia. Swali lako ni general Sana , ni ngumu kujua hasa unataka nini.
 
Back
Top Bottom