Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 859
- 1,012
Kutokana na ugumu wa maisha ninaoupitia kwangu natamani ni hata nisafiri niende kwenye machimbo ya madini (migodi) Ila tatizo kwa upande wangu umbali wa mkoa kutoka ninapoishi na mahala migodi ilipo;
Na kwa wastani nauli kufika huko yaani (Geita, Melelani nk ni umbali mrefu ambao unaweza ukagarimu hata 35,000 kwenda tuu mpaka 40,000.
Hivyo nilichokuwa nakiomba kabla ya kuchukua uamuzi wowote ule ni vyema kwanza nipate elimu ya kutosha kuhusu ajila ndani ya (Migodi).
Vipi naweza pata ajila, nini vigezo ninavyopaswa niwe navyo kama mchimba midini,.
Na vipi kuhusu malipo na zipi CHANGAMOTO zake.
Mwenye uelewa zaidi anifahamishe kuhusu AJIRA ndani ya migodi,.
Kalibuni nyooote