Naomba ufafanuzi hapa

Naomba ufafanuzi hapa

Chukuwa hilo vumbi ulisemalo, changanya na maji halafu lifinyange finyange mbele ya mama'ko halafu sauti itayotoka hapo muulize mama'ko kama hiyo sauti inafanana na ile iliyokuwa inatoka wakati yeye na baba'ko wanakutengeneza au la?

Ukipata jibu liwe ni siri yako.
Umenitusi...!
 
Umeshindwa mjadala. Kaa pembeni.
Mjadala hauwezi kunishinda hata kidogo... Embu fanya kujiuliza hilo swali uliloniuliza mie uone kama inapendeza kwa mtu mzima kama wewe kuongea hivyo?!
 
Nakuheshimu sana ila kwa maneno yako ya leo heshima yangu kwako imepotea.
 
Mjadala hauwezi kunishinda hata kidogo... Embu fanya kujiuliza hilo swali uliloniuliza mie uone kama inapendeza kwa mtu mzima kama wewe kuongea hivyo?!


Lete jibu ya hilo swali nililokuuliza, kama huwezi, kaa pembeni mjadala umekushinda.
 
Na shukuru sana sijalelewa kutukana watu walionizidi umri.!
 
Naomba nikurekebishe
Huyo uliye mpoint mwishoni si nyani kwa hiyo naye hayupo.

Binadamu, sokwe, nyani, orangtun nk. Walitokana na kiumbe mmoja ambaye hakuwa both of them ila alikuwa na some characters ambazo ziko kwa wote.

Evolution haitokei kwa mtu mmoja ndio maana usichukue hiyo picha tu ukadhani ndio evolution, kutoka Kwa huyo wa mwisho mpaka wa pili kutoka mwisho ni vizazai kwa vizazi yaan millions of years hao viumbe wengine hawawezi kuwepo kwani ndio walikuja kuwa extinct baada ya kuwa na mabadailiko.

Sisi na nyani ni familia tofauti zenye chimbuko moja, ila siyo familia moja.
Hata development ya embryo inapita stage za organisms mbalimbali
 
Pata darsa:

Despite having its roots in ancient Greece, the theory of evolution was first brought to the attention of the scientific world in the nineteenth century. The most thoroughly considered view of evolution was expressed by the French biologist Jean-Baptiste Lamarck, in his Zoological Philosophy (1809). Lamarck thought that all living things were endowed with a vital force that drove them to evolve toward greater complexity. He also thought that organisms could pass on to their offspring traits acquired during their lifetimes. As an example of this line of reasoning, Lamarck suggested that the long neck of the giraffe evolved when a short-necked ancestor took to browsing on the leaves of trees instead of on grass.

This evolutionary model of Lamarck's was invalidated by the discovery of the laws of genetic inheritance. In the middle of the twentieth century, the discovery of the structure of DNA revealed that the nuclei of the cells of living organisms possess very special genetic information, and that this information could not be altered by "acquired traits." In other words, during its lifetime, even though a giraffe managed to make its neck a few centimeters longer by extending its neck to upper branches, this trait would not pass to its offspring. In brief, the Lamarckian view was simply refuted by scientific findings, and went down in history as a flawed assumption.

However, the evolutionary theory formulated by another natural scientist who lived a couple of generations after Lamarck proved to be more influential. This natural scientist was Charles Robert Darwin, and the theory he formulated is known as "Darwinism."...

Pata darsa:

Lamark ndiye alikuwa mtu wa kwanza kuleta hiyo fikra, na kwa hilo nakubali, lakini Lamarck alikuwa amekosea vitu vingi (alikosea almost vyote), na kikubwa yeye alidhani kuwa evolution hutokea kwa maamuzi tuu ya organisms, kwake organisms wanaweza kuamua tu kuwa na tabia fulani na baadaye wakazirthisha kwa kizazi kinacho fuata, aliamini hata panya ukimkata mkia uzao wake wote utakosa mkia, aliita the "law of use and disuse". Kila alicho kiwaza lamarck kiluja kuthibitika si kweli kisayansi, kasoro kitu kimoja tuu, alikuwa sahihi kuwa, ikitokea kiumbe akabadilika, mabadiliko yale hurthiwa na vizazi vijavyo.

Darwin ali anzia Lamarck alipo patia, lakini yeye alikuwa tofauti kabsa yeye ali sema viumbe wote huzaliwa wakiwa wana utofauti kidoogo (Variations) na hizo tofauti ndogo, zina weza kuwa na faida au na hasara katika ku survive kwenye mazingira, sasa faida ya ku survive kwa viumbe hao itakuwa watarithisha na vizazi vyao, na vizazi vyao vitazaliwa na tofuti ndogo ndogo, kwa hiyo itakuwa ni tukio la muendelezo.

Darwin anatofautiana kabisa na Lamarck kwani yeye aliamini, mabadiliko ya viumbe si jambo la viumbe hao kuchagua ila ni tofauti ambazo viumbe hao huzaliwa nazo japo Darwin alikufa bila kujua kitu gani kinasababisha hivo ila yeye ali acknowkdge kuwa genetics ni sehemu ya evolution. Jambo ambalo kazi za mendel ndio zililikamilisha hilo.

Hivo Darwin ndio baba halisi wa evolution.

*nimechanganya lugha, tuvumiliane tuu kwa hilo
 
Kwamba mtu wa kwanza alitokana na mavumbi akatolewa mbavu moja akatokea mwanamke then nyoka aongeae akamrubuni huyo mwanamke akasababisha sote tuliofata tuwe na original sin.. Hata mungu akamtia mimba mwanamke ili amzae (huyo huyo mungu), ajitoe sadaka ili atuokoe na original sin aliyotupatia yeye mwenyewe to begin with! Then unasema it makes a lot of sense..?! [emoji53]
haaahaa sio mfuasi wa upande huo. What im saying is that we were created by God. Kuamini kuwa tumetokana na nyani through evolution ni sawa na sawa na kuamini mlima kilimanjaro uligunduliwa na mzungu na hali wachaga walikuwepo.
 
810a16ba45deae1eceb875bc284f43f8.jpg
Mbona huyo Homo Sapiens Sapiens (A perfect hunan) ndo mzungu
 
Back
Top Bottom