Naomba ufafanuzi hapa

Naomba ufafanuzi hapa

ZING SOKONI

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
19,512
Reaction score
57,115
810a16ba45deae1eceb875bc284f43f8.jpg
 
That tells how wrong the theory is. Kuna millions za nyani na milions za wanadamu na hakuna hao waliobakia. Nadhani dini zetu zinaeleza uhalisia zaidi
Hili swali mimi pia nilikuwa najiuliza sana kwanini hao wengine hawaonekani?
 
Unamaanisha natural selection imefanya kazi kwa hao wengine tu ikakataa kwawengine

Hiyo inaweza kuwa hypothesis. Ila ki sayansi, hao viumbe wengine walikuwepo na mafuvu yao yapo. Kwa nini sasa hivi hawapo, mojawapo inaweza kuwa kama hiyo extinction inayoweza kusababishwa na mazingira ya wakati husika, ikiwemo uwindaji haramu (joke).

Labda discussion hapa huwa ni kukinzana kwa hii inayoitwa theory of evolution na uumbaji kama ilivyo kwenye vitabu vya dini. Binafsi sioni mkanganyiko wowote, kwa sababu science haiwezi kuelezea uwepo au kutokuwepo kwa Muumba. Isitoshe, hata wanadamu wa sasa wana tofauti kubwa sana ki maumbile. Adam alikuwa race gani? Hawa binadamu walikuwaje miaka milion kumi iliyopita? Inawezekana kukawa na gonjwa linaloshambulia class moja na sion nyingine na kuipoteza hiyo class over time?

And of-course, a theory can be wrong, that is science.
 
Naomba nikurekebishe
Huyo uliye mpoint mwishoni si nyani kwa hiyo naye hayupo.

Binadamu, sokwe, nyani, orangtun nk. Walitokana na kiumbe mmoja ambaye hakuwa both of them ila alikuwa na some characters ambazo ziko kwa wote.

Evolution haitokei kwa mtu mmoja ndio maana usichukue hiyo picha tu ukadhani ndio evolution, kutoka Kwa huyo wa mwisho mpaka wa pili kutoka mwisho ni vizazai kwa vizazi yaan millions of years hao viumbe wengine hawawezi kuwepo kwani ndio walikuja kuwa extinct baada ya kuwa na mabadailiko.

Sisi na nyani ni familia tofauti zenye chimbuko moja, ila siyo familia moja.
 
Mkuu sikusema kwamba huyo wa mwisho hayupo ila ishu iliyokuwepo hapa ni kwamba kama huyu wa kwanza na wa mwisho wapo wengi kila sehemu kwanini hawa wa katikati hawapo hata mmoja duniani na hata trace zao hazionekani?
 
Hapo nimekuelewa Mkuu
 
Daah
Nimejitahidi kukuelekeza vizuri kweli yaan halafu hujanisoma.

Maana yangu ni kuwa yupo wa kwanza tuu ambaye ndio sisi, hata huyo wa mwisho hayupo. Yaan sisi ni end product ya huo mchakato, halafu wewe unaulizia raw materials zilipo.

Jibu lake ni kuwa huyo wa mwisho si nyani, kwa hiyo naye hayupo. Na hisia zangu najua umefananisha huyo wa mwisho na nyani hawa unao waona siku hizi, jambo ambalo umekosea.

Ndio nika malizia kwa kusema, hao viumbe wengine wote nyuma, walipotea waka develop na kuwa huyo wa mwanzo.

Kama nimekuelewa vibaya nipo tayari kwa masahihisho
 
Naomba nikurekebishe
Huyo uliye mpoint mwishoni si nyani kwa hiyo naye hayupo.

Binadamu, sokwe, nyani, orangtun nk. Walitokana na kiumbe mmoja ambaye hakuwa both of them ila alikuwa na some characters ambazo ziko kwa wote.

Evolution haitokei kwa mtu mmoja ndio maana usichukue hiyo picha tu ukadhani ndio evolution, kutoka Kwa huyo wa mwisho mpaka wa pili kutoka mwisho ni vizazai kwa vizazi yaan millions of years hao viumbe wengine hawawezi kuwepo kwani ndio walikuja kuwa extinct baada ya kuwa na mabadailiko.

Sisi na nyani ni familia tofauti zenye chimbuko moja, ila siyo familia moja.
kwa kuongezea tu ni kuwa evolution ilikua ina be supported by climate change and environment kitu ambacho environmental condition ya kipindi hicho sio sawa na ya sasa
 
Mkuu kwanini hawa wa katikati hawapo hata mmoja duniani na hata trace zao hazionekani?

Kuanzia huyo wa mwisho mpaka wa pili, trace zao zipo kwenye makumbusho, Tz, Kenya, Us, UNESCO na UK. Na trace zao ndio zilifanya tuwachore hivo.
 
The theory of evolution is simply a "theory" and unfortunately it's a bogus theory.
 
Back
Top Bottom