FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,820
hiyo nayo inaongelea Origin of man?
Katazame swali lako, ujione ulivyo punguani. Kwani uliuliza theory y ukweli au theory ya "origin of man"?
Ni punguani tu ataeuliza kuhusu "origin of man", huwa hatutazami ujinga huo, tunatazama "origin of human kind".
Upo hapo ulipo?