Ni kweli kuwa wanafunz huw wanawaza San juu ya kufaulu mitihan yao,hasa kwa kidato cha NNE ndipo penye changamoto sana .Sasa inapotoke ameshindwa kufaulu anajikuta ameshikwa na butwaa hajui nn cha kufanya maana alitegemea shule ndiyo imkomboe kimaisha".Sasa wazo mbadala na jambo la kujadili ni kuwa ," kwa mtazamo wangu shule/elimu ni ufunguo wa maisha na si ndo mafanikio yako tukilitambua hilo linaweza kutusaidia kwa kuw elimu hutupa njia tuu za mafanikio na si ndo mafanikio "" Naomba tuunge mkono hoja