Naomba tulijadili hili nalo

Naomba tulijadili hili nalo

Inawezekana mwanamke ameshindwa kutimiza majukumu ya muhimu ndani ya nyumba yake,amebweteka na mafanikio chanya sasa ni lazima atafutiwe mwenzako ambaye atasaidia kumudu majukumu ya nyumbani.
Hii si sababu. Wanaume by nature ni polygamists. Yaani nature yetu ni kuwa na wanawake zaidi ya mmoja. Japo wakati mwingine mazingira kama kutokuwa na hela huweza kusababisha ukatulia na mtu mmoja.

Ila mambo yakirudi kwenye mstari huna vikwazo unaanza ku exercise u polygamy. Huwezi kufanya lolote juu ya hili.
 
Pesa inaongeza confidence ya kunasa hawa viumbe wa upande wa pili
 
na huyo wa pili anahudumiwa baabkubwa kuliko wa kwanza... pesa ikikata back to square one... tamaa zetu zinatuendesha vibaya na asilimia kubwa tunapataga hela umri ukiwa umekwenda kidogo sasa mke wa kwanza anakua amezoeleka na watu wengi kwahiyo kukabiliana na changamoto ya wakati ndio unatoka na mwingine mpya... halafu mara nyingi wa kwanza hata kama hajazeeka.. anakua amezaa watoto 3+
 
Wanaume wakipata pesa ndio utajua tabia yao....

Sasa umkute ambaye bado yanalia mbwata...wanawake wote aliowakosa akiwa apeche atalala nao atatafuta makoloni kufidia....
 
kwel wababa mumezid kwa ubinafsi, wakat mambo magumu anaheshima, utu, upendo ila zikimtembelea utajuta! kiburi, majivuno, dharau ndo zao tena uzinz hadharani ukisema unaambiwa kama umenichoka ondoka, ebu mungu atuepushe napepo lauzinz
 
kwel wababa mumezid kwa ubinafsi, wakat mambo magumu anaheshima, utu, upendo ila zikimtembelea utajuta! kiburi, majivuno, dharau ndo zao tena uzinz hadharani ukisema unaambiwa kama umenichoka ondoka, ebu mungu atuepushe napepo lauzinz

Ndo mana wanasema mke mlianza nae shida cku ukipata ukamtosa akilalamika utaporomoka tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom