Naomba tujuzaje ndugu, wewe unasoma namba gani kwa sasa?

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,459
17,270
Wakuu naomba tujuzane hapa kila mtu anasoma namba gani kwa sasa.

kuokana na hali ya maisha kua ngumu Watu wanasema unaisoma namba.

mimi nimekubali kama ugumu wa maisha ndio kusoma namba basi mimi sasa nasoma namba tasa tu.

Huko uliko unasoma namba gani, witiri, tasa, shufwa, complex numbers, integers, nk. Pia tuambiane njia rahisi ya kuzisoma maana wengine hawakusoma hesabu walikua wakiona tu namba wanakimbia darasa.
 
Back
Top Bottom