NAOMBA TU KUELEMISHWA JUU YA FEDHA ZINAZOTOLEWA NA MHE. RAIS KATIKA MIRADI MBALIMBALI

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Nimekuwa nikisoma kupitia vyombo vya habari kuwa Mhe. Rais leo ametoa billioni kadhaa kwenye mradi fulani. Je fedha hizi zinatoka fungu gani na huku nikifahamu kuwa kila senti ya Serikali uidhinishwa na Bunge. Au inawezekana Mhe. Rais anatumia fungu lake la Ikulu. Nimeuliza swali kwa ajili ya uelewa.
 
Hzo ni lugha tu za kijinga kwa wanaojipendekeza kwa rais. Wanataka kufanya watu waamini kwamba rais ndiye anatoa hela. Hzi kauli tulikuwa hatuzisikii kuanzia SERIKALI ya awamu ya nne na kurudi nyuma. Tulikuwa tunanaambiwa serikali imetoa fedha kwa ajili ya kufanya a,b,c... siyo rais fulani ametoa fedha kwa ajili ya a,b,c... UKUPE NI KAZI SANA
 
Back
Top Bottom