Naomba tafsiri ya hii picha...

Naomba tafsiri ya hii picha...

Chilisosi

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Posts
3,050
Reaction score
748
Ndugu zanguni,

Mimi sio msomaji mzuri wa picha.

Naomba mnisaidie kunipa tafsiri ya hii picha tafadhali
1544355_572168339535231_1907027812_n.jpg
 
Kwa mawazo yako kujitambua ni kuishambulia chadema24/7? Ccm mwangalieni sana huyu mdudu c mda mrefu atawageuka trust me
 
Ndugu zanguni,

Mimi sio msomaji mzuri wa picha.

Naomba mnisaidie kunipa tafsiri ya hii picha tafadhali
1544355_572168339535231_1907027812_n.jpg

infanana na Mwigul chhhemba;kiaannana a.k.a meno ya tembo; richmond; karamagi' nchimbi;lowasa;; na sirikali ya wauaji na watesaji ;; rest in peace mvungi
 
Kwa mawazo yako kujitambua ni kuishambulia chadema24/7? Ccm mwangalieni sana huyu mdudu c mda mrefu atawageuka trust me
Mbona naona kama mtu anataka kuongeza kengeza hapa?
 
upuuzi mwingine huu hapa!!! Atawaolea dada zenu na nyie wenyewe, msitumie ma------ kuwakandamia wanaume tumieni hoja kama mnaweza
 
Nilivyofaham mimi chadema maamudhi wanayoyafanya kwa ajili ya Uraisi 2015 kwa kumuadhibu wanaehisi ni adui yao wajue watakaoasirika ni wao wenyewe
 
Nilivyofaham mimi chadema maamudhi wanayoyafanya kwa ajili ya Uraisi 2015 kwa kumuadhibu wanaehisi ni adui yao wajue watakaoasirika ni wao wenyewe

eti ni kweli umechumbiwa na maguru machemba???????
 
Tafasiri sahihi kutoks kwa Mzee wa Nondo ni hii;
Chadrma wslianza kuwafundisha mbwa wao kukamata kila mpita njia, hata kama ni mtoto anatoka kisimani kamata, anatoka kuchunga kamata, mama mjamzito miezi 9 anakwenda kliniki kamata, siku moja mwenye mbwa kama mbunge mmoja alivyowahi kusema mjengoni, mwenye mbwa huyo skarudi nyumbani kwake akiwa vitoba kichwani, Mbwa hao bila ajizi waka-Mwigamba, Waka-Yona wa Temeke, Waka-Zitto vyeo vyake,Waka-Lodovick Ubungo Plaza, Waka-Kitila Mkumbo. Tafasiri hii ni sahihi kwa sasa na hata milele.
 
Back
Top Bottom