Naomba pesa

Naomba pesa

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,477
Reaction score
21,023
Mke: Mume wangu naomba pesa nikanunue
nyama.
Mume: Twende chumbani ukachukue, walipofika
Mume kaitoa elfu 5 akaionyesha kwenye kioo
akamwambia Mkewe umeiona ile elfu 5 kwenye
kioo?
Mke: ndio
Mume: ile ndo yako na hii haikuhusu alafu
akaondoka kazini,
Jioni aliporudi akakuta rost la nguvu.
Mume: umepata wapi pesa ya kununulia hizi
nyama?
Mke: twende chumbani, walipofika akavua nguo
zote akaonyesha sehemu zake za siri kwenye kioo
akamwambia" umeona ile ya kwenye kioo ndo
yako, hii ya muuza nyama. .....!
 
Back
Top Bottom