Naomba niwaage

Mbaya zaidi ukifa na Corona unazikwa na manispaa bila ndugu Kama kibaka mkwapuzi wa Ferry au kariakoo.
Too disrespectful and inhumane.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa na hela au cheo wanamwambia ndugu zako walete sanduku na watangulie makaburini.

Ukiwa kibaka huna simu wala kitambulisho. Unategemea watawajuaje ndugu zako. Au ukiwa kibaka mkwapuaji ambae kila mtu anamuombea kifo.
 
Mkuu acha utani,me nimekujua long time humu na tumekuwa pamoja japo hatukuwahi onana.sema nini shida plz.

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia post yake siku mbili tatu nyuma,kaeleza alikuwa Safari kikazi Sasa yule aliekuwa akimuendesha kapata corona na akafa,,so akaeleza na yeye Ana hofu kapata,
So leo amekuja kuconfirm kuwa he is fighting to survive
 
Duh,hizi dawa mnazomtajia inawezekana kabisa zinasaidia ila nyingi ni kubahatisha,kwanini msimshauri aende hospitali mapema ili kama ni Covid-19 aanze matibabu pale na kama sio ndio aendelee na hizo mixer iwapo atagundulika ana hayo matatizo,kwa mfano hapo umetaja mseto na salbutamol,unawezaje kuzitumia hizo dawa kama hujajua una malaria au pumu...!
 
Hapo pia kataja ethromycin,,hi dawa imetajwa tajwa Sana na watu huko US waliokuwa wakiugulia home na wakapona,,
Huo corona haina tiba,kwahiyo Hapa watu hutibu dalili sio kutibu corona,kwani corona haina dawa
 
Mkuu acha uvivu,utakufa kwa njaa shauri yako
 
Ulitumia nini mkuu,tupeane mau tundu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mjamaaa mbona hivyo nini mbaya mwamba siyo issues hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mnyaa Kama mnyaa huu wunaotoa utomvu Kama maziwa au!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…