Amen amen mkuu naona nuru kweli,ile dawa ni yenyewe maana imenisaidia kwa muda mfupi sana,nashkuru kwa maombi kamanda anguSafi sana kiongozi.. endelea kutumia maombi nayo usiache.
Make sure unafika December twende morombo kujipongeza.
Ni ipi kaka maana nimeoneshwa picha mbili tofauti???Mkuu namshukuru Mungu naendelea vizuri ,toka nitumie ile Jani la Madagascar huwezi amini pua zimefunguka na nahisi harufu saivi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio yenyewe
Mwenye update ya maendeleo ya rafiki yetu @ ushimen shemeji yetu amu tupe taarifa jamani simu yake haipo hewani
Sent using Jamii Forums mobile app
Comments yangu haja like shemeji usijali pia nimefarijika kwa kuona tabasamu yako ikirejea ni kielelezo kuwa mpendwa wetu yu na maendeleo mazuri...mwambie pia hata jir ani naye baada ya kutoka Njombe na Mbeya hali yake imeyumba ni leo at least yupo na tabasamu ila bado ana kifua na kikohozi kama mwenye pumu. .Ukweli ugonjwa upo tuendelee kumuomba MunguImebidi tu nicheke unajua wewe huna akili!!!
Anyway ahsante kwa hiko cheo japo si changu ana recover anafanya mazoezi
na kujifukiza vitamin c kwa wingi pia
Bado anapumua si mnaona hata analike humu? Kama humpati ina maana amezima simu amepumzika unaweza kumcheki mida ya saa 4 au saa 3 asubuhi.
POLE MKUU UKO MLOGANZILA AU AMANA?
jamaa daaah, jamii forum kuna watu jaman, anyways pole man
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu huu mmea unapatikana mtaa gani hapo Arusha? Kuna jamaa yangu anaomba nimuelekeze akachukue.Hii ndio yenyewe
View attachment 1439146
Mbusi si ndo huyuhuyu meko kapeleka sampo akakutwa na Korona?
Mbusi si ndo huyuhuyu meko kapeleka sampo akakutwa na Korona?
Anza kujifukiza ndiyo dalili zenyeweLeo nimeamka viungo vinauma,mwili umechoka Sina hamu ya kula tokea asubuhi nakula limao na tangawizi
Sasa sijui ndo korona au vipi sijatoka nje kabisa
Hali ipoje mpaka sasa.?Amen amen mkuu naona nuru kweli,ile dawa ni yenyewe maana imenisaidia kwa muda mfupi sana,nashkuru kwa maombi kamanda angu
Sent using Jamii Forums mobile app
Je uliyapata au bado..?Mkuu huu mmea unapatikana mtaa gani hapo Arusha? Kuna jamaa yangu anaomba nimuelekeze akachukue.