Landala
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 997
- 473
Kwenye nusu fainali ya uefa champions league wakati Barcelona alipoichapa Real Madrid 2 - 0 mechi ya kwanza,watu wasio jua mpira walisema maneno ya uzushi na uongo kuwa Barcelona kabebwa,sasa naomba niwaulize wana michezo wote kwa ile fainali ya jana kati ya mabingwa BARCELONA dhidi ya Man u,je Barca kabebwa?jamani watu tuache fitna,timu ya BARCELONA wamezaliwa na mpira na mpira wanaujua na hawabahatishi hata kidogo.Hiyo ndo Barca kama huipendi chimba shimo ujifukie.