Naomba nisamehe!!!!!!!

samehe kadri ya uwezo wako ila pima kosa lenyewe sio kila siku misamaha isiyoisha mtu huyohuyo kosa lilelile

Mi huwa sikubali samahani kirahisi rahisi namwacha ateseke mwaka mzima ndo nimsamehe

Sijawahi kupenda mimi nacho jua nikumega tu

ila mtu wangu kuna wengine huwa ni wakali hadi unaona bora upotezee baadhi ya makosa, sasa we ukijifanya unamringishia itakula kwako, inaweza kuwa ka Bow wow na 50 dhiti ciara.

well said, hapo inakuwa dharau sasa!

ila mtu wangu kuna wengine huwa ni wakali hadi unaona bora upotezee baadhi ya makosa, sasa we ukijifanya unamringishia itakula kwako, inaweza kuwa ka Bow wow na 50 dhiti ciara.

Kijana usiwe mtumwa wa mapenzi.
Wanawake wengi siku hizi ukiwa unanyenyekea sana unaweza kufa kwa kiholo
Angalizo UKIMWI UPO NA UNAUA

Usihesabu makosa ya mjoli wwa bwana!

utakuwa umeharibu babu! Imeandikwa ole wake amsababishae mwenzie makwazo, ingemfaa zaidi jiwe la kusagia lifungwe shingoni mwake akatupwe baharini, Luk 17.

assume imetokea hivyo utafanyaje?

Ikitokea naombwa msamaha kwa kosa hilohilo miaka nenda rudi inategemea na kosa ukubwa wake,kama ni kubwa sana nitahitaji kikao kirefu sana kabla ya msamaha na masharti kibao

Ikitokea naombwa msamaha kwa kosa hilohilo miaka nenda rudi inategemea na kosa ukubwa wake,kama ni kubwa sana nitahitaji kikao kirefu sana kabla ya msamaha na masharti kibao

akirudia tena?

so unaeza kuishi bila kukosea?jibu samehe tu maana makosa tunafanya sometimes bila kukusudia

kama unajua kukosea ni given kwanini uombwe msamaha. mimi nafikiri tofauti

sasa mfano umegundua mwenzio anarudiarudia kosa hilohilo utafanyeje ili asirudie tena?

Mpatie ushauri tena mweke chini ongea nae na kama inajirudia ni bora uamue kunyoa ama kusuka

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…