Naomba niongee na kizazi chetu cha 1990 Tusiishi ukale wa kizazi cha zamani

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Jul 11, 2017
1,014
1,896
Habari.

Naomgea na kizazi cha mwaka 1990 hadi leo.

Kiuhalisia sisi ndo wazazi kwa sasa Tunaoliandaa Taifa la kesho.

Nimekuja na hoja za msingi Tatu ambazo kiuhalisia zitatusaidia sana hasa miaka kadhaa ijayo umri ukiwa tayari umeenda na hata kazj za nguvu tulizokuwa tunafanya hatutaweza kufanya tena.

Hoja ya Kwanza Kwa maisha ya sasa yalivyo jitahidi sana kuwekeza na kujijenga kiuchumi tuachane na hizi dhana za kusema kwamba watoto wetu watakuja kutusaidia baadae,

Hii imekuwa kasumba mbaya sana leo hii kijana anapata kazj ya kuingiza ka laki tano hapo hapo na wewe mzazi unataka tena kutumia hivyo kwa kizazi chetu bado tuna nafasi kubwa ya kujijenga kiuchumi pasipo kukiumiza kizazi chetu.

Hoja ya Pili Lazima Tuwasimamie sana watoto wetu tuache dhana ya kusema watoto wetu waende kujitegemea ikiwa hatuna uhakika wa huko watakaopoenda kutakuaje ,Tuache hilo suala walilokuwa wanafanya kizazi cha zamani mtu akimaliza chuo tu wanamfukuza kwao
Kizazi chetu tunatakiwa tuwe na watoto wetu kwa kila hali mpaka mzazi utakapojihakikishia usalama wake kama ni biashara mpe mtajj na uifuatilie biashara yake na kama una connection ya kazi mfanyie.
Kizazi chetu kisiwe tena cha kufukuza watoto mtaani kuna tabia nyingi za ovyo Umalaya,ushoga,mauaji yasiyotarajiwa.

Hoja ya Tatu Lazima Tuwekeze Upendo katika familia zetu kitu ambacho kizazi cha zamani walikikosa baba miaka ya zamani alikuwa anaogopeka kama simba lakinj kwetu sisi isiwe hivyo kabisa lazima tujiweke karibu na watoto na familia Kuna vitu vingi Tutajifunza na kuvitatua wazazi wetu walikuwa wanaogopeka sana kwao walikuwa wanaona silaha ya kujenga familia kumbe ni kubomoa
 
kizazi cha kuku kufukuza vifaranga baada ya kuota mbawa sembuse mwanadamu?fukuza mapema ili akili ikae sawa pale unapopata changamoto usisubiri mpaka ufukuzwe sikuzote mwanzo mgumu
 
Kuna mzee mmoja wa kisukuma alisikika kijiweni akisema wao huwa hawafukuzi vijana wao hata kama wameoa wataendelea kuwapa chakula mpaka watakapotengemaa. Anasema wana mashamba makubwa wanalima na kupata chakula kingi, ya nini kuwatimua vijana wao wakahangaike kutafuta maisha wakati chakula kipo tele nyumbani? Anabainisha wao hawafanyi kama makabila mengine kuwatimua vijana wao wakajitafutie maisha wakati bado giza nene limewatanda
 
Vijana wenyewe hawana mpango na watoto/familia/ndoa kwa kuogopa drama,

Mtu kama huyu atatoa kila kisingizio ili aishi tuu mwenyewe, wengi wanasingizia drama za familia, lakini huo ni mwemvuli tuu,

Sbb kuu Ni maisha magumu, kuhisi atapitwa na wakati, kukwepa majukumu, woga wa maisha, Ubinafsi, kutojiamini..

Mtu kama huyu sio tuu kumfukuza mtoto lakini pia hata kumkana mwanae wa damu sio shida..

Kuhusu kukosa upendo wa wazazi wetu,
Wengi wao ilikua ni stress na ukali wa maisha, mtu mda wote anakua na mahasira na sheria kibao, unakuta mzee anaongea mate yamemjaa, kisa kukutengenezea hofu impe kinga ya attack yoyote ya kiuchumi...
 
Habari.

Naomgea na kizazi cha mwaka 1990 hadi leo.

Kiuhalisia sisi ndo wazazi kwa sasa Tunaoliandaa Taifa la kesho.

Nimekuja na hoja za msingi Tatu ambazo kiuhalisia zitatusaidia sana hasa miaka kadhaa ijayo umri ukiwa tayari umeenda na hata kazj za nguvu tulizokuwa tunafanya hatutaweza kufanya tena.

Hoja ya Kwanza Kwa maisha ya sasa yalivyo jitahidi sana kuwekeza na kujijenga kiuchumi tuachane na hizi dhana za kusema kwamba watoto wetu watakuja kutusaidia baadae,

Hii imekuwa kasumba mbaya sana leo hii kijana anapata kazj ya kuingiza ka laki tano hapo hapo na wewe mzazi unataka tena kutumia hivyo kwa kizazi chetu bado tuna nafasi kubwa ya kujijenga kiuchumi pasipo kukiumiza kizazi chetu.

Hoja ya Pili Lazima Tuwasimamie sana watoto wetu tuache dhana ya kusema watoto wetu waende kujitegemea ikiwa hatuna uhakika wa huko watakaopoenda kutakuaje ,Tuache hilo suala walilokuwa wanafanya kizazi cha zamani mtu akimaliza chuo tu wanamfukuza kwao
Kizazi chetu tunatakiwa tuwe na watoto wetu kwa kila hali mpaka mzazi utakapojihakikishia usalama wake kama ni biashara mpe mtajj na uifuatilie biashara yake na kama una connection ya kazi mfanyie.
Kizazi chetu kisiwe tena cha kufukuza watoto mtaani kuna tabia nyingi za ovyo Umalaya,ushoga,mauaji yasiyotarajiwa.

Hoja ya Tatu Lazima Tuwekeze Upendo katika familia zetu kitu ambacho kizazi cha zamani walikikosa baba miaka ya zamani alikuwa anaogopeka kama simba lakinj kwetu sisi isiwe hivyo kabisa lazima tujiweke karibu na watoto na familia Kuna vitu vingi Tutajifunza na kuvitatua wazazi wetu walikuwa wanaogopeka sana kwao walikuwa wanaona silaha ya kujenga familia kumbe ni kubomoa
Hoja ya 3 hapana mzee mshua lazima watoto wakuogope ogope kidogo hata ukitoa amri tu inatekelezwa hapo hapo.
 
Hitimisho sio zuri liweke kwa context na nyakati by then it was extremely relevant and it helped a lot, mlee wako kama mayai utavuna mema
 
Back
Top Bottom