benteke
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 1,305
- 1,069
Benteke Nikuambie kitu? au basi tu ntakupigia baadae. Nikamwambia sema tu, kwani kuna nini? Mtoto akafunguka kilichoko moyoni, "Benteke naomba uninunulie simu yenye Whatsup eeeh".
Nikamuuliza zinakuaje hizo? akanijibu we nenda tu duka lolote la simu waulize watakuonyesha. Benteke ndo nataka niende hapo samora nikaitafute. Hehehe, papuchi bwana, ntamnunulia tu kwani nini bwana. Ntachukua hata mkopo.