Naomba nijibiwe kwa anaefaham ama kujua

mapambio

Member
Apr 16, 2011
29
0
...hivi aya majina ya mabara katika dunia yametungwa na nani? Na kwanini herufi inayoanza ndio inayomalizia?...nahisi itakua na maana flani...nijuzeni kwa anaejua
 
...hivi aya majina ya mabara katika dunia yametungwa na nani? rufi inayoanzaNa kwanini he ndio inayomalizia?...nahisi itakua na maana flani...nijuzeni kwa anaejua

Mfano bara la Europe au Ulaya? sio lazima herufi ianayoanza ndiyo inayoishia! zaidi jaribu kutafuta kwenye search engines kama googles utapata,mimi nimetafuta mara moja tu nimepata hii

The first distinction between continents was made by ancient Greek mariners who gave the names Europe and Asia to the lands on either side of the waterways of the Aegean Sea, the Dardanelles strait, the Sea of Marmara, the Bosporus strait and the Black Sea.[29] The names were first applied just to lands near the coast and only later extended to include the hinterlands.[30] But the division was only carried through to the end of navigable waterways and "... beyond that point the Hellenic geographers never succeeded in laying their finger on any inland feature in the physical landscape that could offer any convincing line for partitioning an indivisible Eurasia

Haya kishughulishe utapata majibu yote kwenye internet na kwakweli ndiyo faida ya Technologia hii!


 
...hivi aya majina ya mabara katika dunia yametungwa na nani? Na kwanini herufi inayoanza ndio inayomalizia?...nahisi itakua na maana flani...nijuzeni kwa anaejua
inaelekea una fikiri sana kiasi cha kugundua hayo yaliyopo kwenye wali lako, nadhani itachukua muda kwa wewe na wengineo kupata jibu
 
Back
Top Bottom