Naomba niambiwe namna ya kutoa jiwe dogo kwenye figo

kidney stone kama sijakosea nakumbuka niliambiwa sabab na matumizi ya chumvi mbichi chumvi ya pembeni matibabu yapo wataalam watakwambia ukiwatafuta
mkuu siongezagi chumvi kwenye chakula hata iweje.ndo naendelea kusubiria wataalamu wanipe dawa
 
shukrani kwa ushauri .nimeanza kunywa maji toka jana kweli nina nafuu sana.tatizo mi mvivu kwenda chooni kukojoa kila mara sitaki kuharibu papuchi yangu
linauma sana jamani khaa sio mchezo
asante sana
kukojoa kila mara kunaharibuje papuchi?
 
pole..dawa yake hilo ni maji tu.kunywa maji mengi sana kwa siku..asubuhi fanya water therapy..ukiamka kunywa maji ya uvuguvugu lita moja thn fanya mazoez kidogo.
mchana pia maji kila dakika.
litayeyuka lenyewe na kupotea sabb hilo jiwe ni la chumvi..
chumvi zilizpzidi na zisizohitajika mwilini hutolewa kwa njia ya mkojo na jasho..sasa
usipokunywa maji mengi zile chumvi zinakosa kimiminika cha kutosha kuzotoa nje ya mwili. ndo matokeo zinaganda na kugeuka vijiwe vidogovidogo..na ukichelewa yatakuwa mawe mengi makubwa.
 
kwa sasa nakunywa maji maumivu yameisha kidogo ila nataka yaishe kabisa haraka.belt limeniponza jamani

hahaha yaan uviv wa kuvua belt ukapeleka usiwe unakunywa maji? mie mwenyew ninalo hilo la chupi nikaona linanipa shida kuvaa vyupi na lenyewe!poe kunywa maji mengiiii
 
hahaha yaan uviv wa kuvua belt ukapeleka usiwe unakunywa maji? mie mwenyew ninalo hilo la chupi nikaona linanipa shida kuvaa vyupi na lenyewe!poe kunywa maji mengiiii
ahaaaa linabinua chura hadi raha nalimiss belt langu la kuuzia sura mjini
 
pole miss, kunywa maji sana ukiona bado nenda hospitali watakufanyia vipimo na matibabu ya DIALYSIS, kuna njia maalumu na vifaa maalumu vya kuondoa hyo kidney stone.
 
ahaaaa linabinua chura hadi raha nalimiss belt langu la kuuzia sura mjini

hahaha hv linabidua ? mie naona linanibana sana jaman ! nilikua navaa chup na lenyew tena bas nakuwa mnene makalion nikaliweka hukoo ! toka jtt nimeanza diet nimekata starch kwa 100% jana na leo nimeshindwa mie ! nimefakamia mafirigis na ugali hapa akuu !wafanye tu diet watu ! sifanyi tena diet mie
 
linabinua si zile kamba zinapita chini ya mistari ya kalio?
 
hilo la kubinua makalio nimeah liona wifi angu analivaa lina ikanda minene inapiota chini ya kalio nilichoka !
mayb sijajua km linabinua ! langu lipo km chupi lakini imefika had tumbon

linabinua si zile kamba zinapita chini ya mistari ya kalio?
 
Back
Top Bottom