Unafahamu unywaji wa maji mengi unasababisha magonjwa ya ini, figo na moyo

Oct 10, 2020
11
17
Habari zenu.

Dr Kihwaga hapa again

Matumaini yangu mpo salama

Kulingana na hoja iliyotufikia mezani siku ya leo on be half of MDs nitaomba niweke clear kwa kiasi chake kuhusu kiwango sahihi cha kunywa maji na kama hutashindwa kutumia elimu hii basi utakua katika hatari kubwa ya kupata magonjwa hayo sio tu maradhi ya moyo even ganzi maradhi ya figo ini n.k kama ilivyonenwa mahali flan nyuma ya kibweta

Tunapaswa kufahamu kwanza faida za maji katika mwili wa binadamu kwa ufupi maji yanasaidia kusafisha mwili dhidi ya sumu maji yanasaidia katika umeng'enywaji wa chakula mwilini maji yanasaidia katika kuboresha kinga zetu mwilini kwa ujumla tunasema maji ni uhai

Lakini tusipofahamu kutumia maji haya kwa kiasi flan kwa wakati flani either kulingana na maradhi yako or mwili pengine basi utakuwa katika hatari kubwa ya kupata magonjwa hayo au kama teali unayo basi kuyachochea kukuwa kwa kasi na kuhatatisha uhai wako

Unaweza kukutana na mtu mfano ana kilo zaidi ya 100 daktari amemwambia atumie maji angalau lita 5 mpaka 7 kwa siku jambo ambalo ni hatari kwa uhai wake sasa iko hivi unapokuwa na uzito mkubwa ikisha tukachukua sampuli ya damu yako tukaipima katika mahabara kuna kitu tunaita fasten insulin homoni hii itakuwa ipo juu homoni hii itakuwa juu asubuhi kabla ya kula sasa hiki ni kiashiria kitalaam tunaita insulin resistance
Kadri siku zinavyoenda mwili wako utadumaa katika kiwango cha Cells kitendo cha insulin kuwa Juu katika mwili wako itasababisha madhara ya fuatayo:

Hutashindwa kupumua vizuri katika maisha yako kwasababu homoni ya insulin ni Lock inayafunga mafuta ili mwili wako ushindwe kuyatumia tambua ya kwamba homoni ya insulin is potential depolarizing habitor inazuia mwili usiunguze mafuta na kuyatumia

kwaiyo kama wakati flani umekuwa ukihangaika kupunguza uzito wako kupitia njia mbali mbali na haujafanikiwa basi tambua ya kuwa homoni ya insulin imeyashikilia hayo mafuta kwaiyo lazima kuishusha homoni hii ya insulin kwanza ikisha ndio kuremoval hayo mafuta

Sababu nyingine...

Ambayo unapaswa ufahamu homoni hii huenda kutoa maelekezo kwenye figo ili figo iweze kung'ang'ania madini ya chumvi na maji tunavyozungumzia chumvi tunazungumzia Sodium retention na water retention kwa hivyo unapokuwa na uzito mkubwa tambua ya kuwa figo huwa inapewa shinikizo na homoni inayoshikiria yale mafuta (insulin) figo inapong'ang'ania chumvi automatically mwili unang'aninia maji kinatokea kitu tunaita Plasma Volume kwaiyo unaongeza mzigo ambao unatakiwa kusukumwa na Moyo na ndio mana watu wenye uzito mkubwa huwa wanalalamika shortness of breathing unakuta akipanda ngazi kdg ana hema haijawahi tokea

Hii ni kwasababu mzigo ambao moyo unasukuma ni mkubwa kuliko kawaida yake tatizo la ganzi Miguu kujaa na kusinyaa ukikaa muda mrefu katika gar kwako au ukiamka asbh ni shida wakati flan Miguu inakuwa kama sponchi ukiminya inaweka mashimo badae yanarudi kawaida

Zote hizo ni dalili ya kwamba mwili wako unaretain maji mengi sasa emu fikiria kumbe mtu mwenye uzito mkubwa ni Sawa na kanga au taulo likizamishwa kwenye maji ikisha likatolewa bila shaka itakuwa limelowana hakuna kifani sasa mtu wa namna hii nikikutana nae nitamshauri tena anywe maji mengi angalau Lita 4 au 5 kwa siku...!

Kwaiyo mtu mwenye uzito mkubwa tayari mwili wake unakuwa umelemewa na mzigo mkubwa wa maji you are enough wet and ukiangalia baadhi ya makopo makubwa ya maji yameandikwa mtu mwenye uzito zaidi ya 100 anatakiwa anywe maji Lita 4.3 Lita 4.3 ni nyingi

Kwaiyo unajikuta unajilazimisha kunywa maji mengi pasipo kuwa na kiu kwasababu mwili una maji mengi kiasi cha kwamba ubongo unapewa taarifa kiu inakata na ndio maana watu wenye uzito mkubwa wanajikuta ya kwamba hawana kiu ya maji ile ya mara kwa mara unywaji wao wa maji ni wakujilazimisha

_Kwasababu mwili unajaribu kujinusuru na kiwango cha maji ambacho unacho kwaiyo unapokuwa na uzito mkubwa ni sawa na kitambaa au kanga au taulo ambalo teali limekwisha lowana na maji kukusaidia ni kuyakamua hayo maji yatoke ambapo itakusaidia kuanza kupumua vizur utaanza kulala vizuri pasi na kuota ndoto za ajabu ajabu wala roho yako haitakutoka kama unavyoota sasa utanyauka na mwili wako kuwa mwepesi kwaiyo mtu mwenye uzito mkubwa nashauri unywe maji kwa kufuata kiu yako usinywe maji kwa kufuata ~FORMULA~

Kwasababu ~FORMULA~ inaweza kuhatarisha maisha yako hata kwa wewe ambae huna uzito mkubwa nakusihi kuacha kunywa maji kwa kufuata formula kwasababu zifuatazo:

katika mwili wa binadamu kuna madini ambayo Mungu aliyaweka kuhakikisha shinikizo au presha kuwa vizuri mfano tuna madini ya Sodium madini ya Sodium yanatakiwa kuwepo katika mwili wako kwa kiwango flani tukichukua damu yako ikisha tukaenda kupima madini ya Sodium katika mahabara yanatakiwa yawepo kati ya 135-145 mEq/L kwaiyo Sodium inatakiwa iwe katika kiwango hicho Potassium 3.5-5.0 Chloride 98-108

Kwaiyo endapo ikitokea mwili wako umeuzidishia maji its means kwamba unadilute damu yako unadilute haya madini kitakachokutokea utapata kitu tunaita hyponatraemia kitaalam

Hyponatraemia ni kitendo cha mwili wako kuuzidishia maji unapouzidishia maji mwili wako madini ya Sodium yanashuka utakuwa katika hatari ya Abruptdealth yan kupatwa na kifo cha ghafla iwe kudondoka ghafla au ukilala ndio moja kwa moja bila kuamka kwasababu ya kupumua kwa shida

Kwaiyo tunywe maji kwa kufuata kiu tunywe maji kwa kufuata una hali gani kiafya kwa wenye maradhi ya figo na ini figo huwa inahakikisha presha yako inakuwa normal figo ndio inayoregulate kiwango cha maji chumvi lakini pia figo inatoa uchafu

Sasa inapotokea figo imepata itilafu huwa inang'ang'ania maji kwa kawaida huwezi kusema unatakiwa ninywe maji Lita kadhaa wakati teali mwili wako umelemewa maji utaendelea kudilute Sodium Phosphorus na Chloride wakati vinatakiwa viwe normal

Kwaiyo kunywa maji kwa kufuata kiu kuna mazingira ambayo maji yanaweza yakakuathiri kama ukienda tofauti

Kwa wenye maradhi ya Ini maji yakizi huwa yanatoka nje ya mishipa ya damu na kuingia kwenye mwili kwaivyo ukijiminya utaona yanabonyea na kuweka shimo baadae kurejea

Kwaiyo kitendo cha kunywa maji kwa kufuata formula kinaweza kikakuathiri wewe kwa namna moja ama nyingine hakikisha unakunywa maji kwa kufuata kiu

Watu wengi wanaulaji mbovu kula bila kuzingatia virutubisho muhimu kama wanga mafuta protein vitamin hii inaweza kusababisha ukapoteza hali ya kujihisi kiu ya kunywa maji

Asanteni kwa kusoma
NIPIGIE SIMU KWA USHAURI BURE
0620258276
Dr Kihwaga
 
Habari zenu.

Dr Kihwaga hapa again

Matumaini yangu mpo salama

Kulingana na hoja iliyotufikia mezani siku ya leo on be half of MDs nitaomba niweke clear kwa kiasi chake kuhusu kiwango sahihi cha kunywa maji na kama hutashindwa kutumia elimu hii basi utakua katika hatari kubwa ya kupata magonjwa hayo sio tu maradhi ya moyo even ganzi maradhi ya figo ini n.k kama ilivyonenwa mahali flan nyuma ya kibweta

Tunapaswa kufahamu kwanza faida za maji katika mwili wa binadamu kwa ufupi maji yanasaidia kusafisha mwili dhidi ya sumu maji yanasaidia katika umeng'enywaji wa chakula mwilini maji yanasaidia katika kuboresha kinga zetu mwilini kwa ujumla tunasema maji ni uhai

Lakini tusipofahamu kutumia maji haya kwa kiasi flan kwa wakati flani either kulingana na maradhi yako or mwili pengine basi utakuwa katika hatari kubwa ya kupata magonjwa hayo au kama teali unayo basi kuyachochea kukuwa kwa kasi na kuhatatisha uhai wako

Unaweza kukutana na mtu mfano ana kilo zaidi ya 100 daktari amemwambia atumie maji angalau lita 5 mpaka 7 kwa siku jambo ambalo ni hatari kwa uhai wake sasa iko hivi unapokuwa na uzito mkubwa ikisha tukachukua sampuli ya damu yako tukaipima katika mahabara kuna kitu tunaita fasting insulin homoni hii itakuwa ipo juu homoni hii itakuwa juu asubuhi kabla ya kula sasa hiki ni kiashiria kitalaam tunaita insulin resistance
Kadri siku zinavyoenda mwili wako utadumaa katika kiwango cha Cells kitendo cha insulin kuwa Juu katika mwili wako itasababisha madhara ya fuatayo:

Hutashindwa kupumua vizuri katika maisha yako kwasababu homoni ya insulin ni Lock inayafunga mafuta ili mwili wako ushindwe kuyatumia tambua ya kwamba homoni ya insulin is potential depolarizing habitor inazuia mwili usiunguze mafuta na kuyatumia

kwaiyo kama wakati flani umekuwa ukihangaika kupunguza uzito wako kupitia njia mbali mbali na haujafanikiwa basi tambua ya kuwa homoni ya insulin imeyashikilia hayo mafuta kwaiyo lazima kuishusha homoni hii ya insulin kwanza ikisha ndio kuremoval hayo mafuta

Sababu nyingine...

Ambayo unapaswa ufahamu homoni hii huenda kutoa maelekezo kwenye figo ili figo iweze kung'ang'ania madini ya chumvi na maji tunavyozungumzia chumvi tunazungumzia Sodium retention na water retention kwa hivyo unapokuwa na uzito mkubwa tambua ya kuwa figo huwa inapewa shinikizo na homoni inayoshikiria yale mafuta (insulin) figo inapong'ang'ania chumvi automatically mwili unang'aninia maji kinatokea kitu tunaita Plasma Volume kwaiyo unaongeza mzigo ambao unatakiwa kusukumwa na Moyo na ndio mana watu wenye uzito mkubwa huwa wanalalamika shortness of breathing unakuta akipanda ngazi kdg ana hema haijawahi tokea

Hii ni kwasababu mzigo ambao moyo unasukuma ni mkubwa kuliko kawaida yake tatizo la ganzi Miguu kujaa na kusinyaa ukikaa muda mrefu katika gar kwako au ukiamka asbh ni shida wakati flan Miguu inakuwa kama sponchi ukiminya inaweka mashimo badae yanarudi kawaida

Zote hizo ni dalili ya kwamba mwili wako unaretain maji mengi sasa emu fikiria kumbe mtu mwenye uzito mkubwa ni Sawa na kanga au taulo likizamishwa kwenye maji ikisha likatolewa bila shaka itakuwa limelowana hakuna kifani sasa mtu wa namna hii nikikutana nae nitamshauri tena anywe maji mengi angalau Lita 4 au 5 kwa siku...!

Kwaiyo mtu mwenye uzito mkubwa tayari mwili wake unakuwa umelemewa na mzigo mkubwa wa maji you are enough wet and ukiangalia baadhi ya makopo makubwa ya maji yameandikwa mtu mwenye uzito zaidi ya 100 anatakiwa anywe maji Lita 4.3 Lita 4.3 ni nyingi

Kwaiyo unajikuta unajilazimisha kunywa maji mengi pasipo kuwa na kiu kwasababu mwili una maji mengi kiasi cha kwamba ubongo unapewa taarifa kiu inakata na ndio maana watu wenye uzito mkubwa wanajikuta ya kwamba hawana kiu ya maji ile ya mara kwa mara unywaji wao wa maji ni wakujilazimisha

_Kwasababu mwili unajaribu kujinusuru na kiwango cha maji ambacho unacho kwaiyo unapokuwa na uzito mkubwa ni sawa na kitambaa au kanga au taulo ambalo teali limekwisha lowana na maji kukusaidia ni kuyakamua hayo maji yatoke ambapo itakusaidia kuanza kupumua vizur utaanza kulala vizuri pasi na kuota ndoto za ajabu ajabu wala roho yako haitakutoka kama unavyoota sasa utanyauka na mwili wako kuwa mwepesi kwaiyo mtu mwenye uzito mkubwa nashauri unywe maji kwa kufuata kiu yako usinywe maji kwa kufuata ~FORMULA~

Kwasababu ~FORMULA~ inaweza kuhatarisha maisha yako hata kwa wewe ambae huna uzito mkubwa nakusihi kuacha kunywa maji kwa kufuata formula kwasababu zifuatazo:

katika mwili wa binadamu kuna madini ambayo Mungu aliyaweka kuhakikisha shinikizo au presha kuwa vizuri mfano tuna madini ya Sodium madini ya Sodium yanatakiwa kuwepo katika mwili wako kwa kiwango flani tukichukua damu yako ikisha tukaenda kupima madini ya Sodium katika mahabara yanatakiwa yawepo kati ya 135-145 mEq/L kwaiyo Sodium inatakiwa iwe katika kiwango hicho Potassium 3.5-5.0 Chloride 98-108

Kwaiyo endapo ikitokea mwili wako umeuzidishia maji its means kwamba unadilute damu yako unadilute haya madini kitakachokutokea utapata kitu tunaita hyponatraemia kitaalam

Hyponatraemia ni kitendo cha mwili wako kuuzidishia maji unapouzidishia maji mwili wako madini ya Sodium yanashuka utakuwa katika hatari ya Abruptdealth yan kupatwa na kifo cha ghafla iwe kudondoka ghafla au ukilala ndio moja kwa moja bila kuamka kwasababu ya kupumua kwa shida

Kwaiyo tunywe maji kwa kufuata kiu tunywe maji kwa kufuata una hali gani kiafya kwa wenye maradhi ya figo na ini figo huwa inahakikisha presha yako inakuwa normal figo ndio inayoregulate kiwango cha maji chumvi lakini pia figo inatoa uchafu

Sasa inapotokea figo imepata itilafu huwa inang'ang'ania maji kwa kawaida huwezi kusema unatakiwa ninywe maji Lita kadhaa wakati teali mwili wako umelemewa maji utaendelea kudilute Sodium Phosphorus na Chloride wakati vinatakiwa viwe normal

Kwaiyo kunywa maji kwa kufuata kiu kuna mazingira ambayo maji yanaweza yakakuathiri kama ukienda tofauti

Kwa wenye maradhi ya Ini maji yakizi huwa yanatoka nje ya mishipa ya damu na kuingia kwenye mwili kwaivyo ukijiminya utaona yanabonyea na kuweka shimo baadae kurejea

Kwaiyo kitendo cha kunywa maji kwa kufuata formula kinaweza kikakuathiri wewe kwa namna moja ama nyingine hakikisha unakunywa maji kwa kufuata kiu

Watu wengi wanaulaji mbovu kula bila kuzingatia virutubisho muhimu kama wanga mafuta protein vitamin hii inaweza kusababisha ukapoteza hali ya kujihisi kiu ya kunywa maji

Asanteni kwa kusoma
NIPIGIE SIMU KWA USHAURI BURE
0620258276
Dr Kihwaga
 
Mimi nyie watu wa afya hata siwaelewagi. Mara tusinywe soda, tusile nyama, tusitumie mafuta, tusile wali, tusinywe bia, gari tusipande, tutembee, tusile mikate, tusinywe chai wala kahawa, tusitumie sukari na tunywe maji mengi. Leo mnatugeuzia kibao maji tusinywe tena!!

Lol! Ngoja niwaambie, sisi hatutaki kuishi kama minazi. Miaka mpaka 100. Tulikuja siku moja duniani, tutaondoka siku 1. Biblia ishasema, siku za kuishi za mtu aliyezaliwa na mwanamke ni chache sana!!!

Mi naishi maisha yangu. Ntakula na kunywa nnachotaka mpaka pale kitakaponiletea madhara.

Aliyewaambia sisi tunataka kuishi miaka 100 nani?
 
If your very serious with humanity ni muda sasa wakufungua mashitaka yatakayo wakabili hao wenye makampuni, Yakiwatuhumu kwa upotoshaji wa kiafya ambao unaleta madhara kwa wateja wao na jamii. Mana wana-recomend kitu ambacho si sahihi kwa afya ya mlaji.
 
Hawa wanaojiita wataalamu wa afya wamekaa kutufanya tuishi kwa hofu tu.
Kuna siku naangalia itv kipindi cha afya daktari bingwa wa figo anazungumzia kuhusu kuongezeka magonjwa ya figo mwisho akashauri tujitahidi kunywa maji kwa wingi siku nyingine akaja daktari bingwa wa moyo akasema ukinywa maji mengi ni hatari inasababisha magonjwa ya moyo nilipomsikia nikasema wote wapumbavu nitafanya nitakavyoona ni sawa
 
Back
Top Bottom