Naomba namba ya TCU au email address

Mpangamji

JF-Expert Member
May 12, 2010
540
140
Wakuu heshima mbele

kuna kadogo kangu, status bado inaonyesha not processed, siku chache zilizopita ilionyesha Admitted. Naomba namba ya TCU au mwenye ufahamu kuhusu nini inaweza kuwa tatizo anifahamishe.

Shukrani kwa atakayesaidia
 
0712-722684 all the best bt kuwa mvumilivu kwa majibu yao!!!
 
Back
Top Bottom