Naomba nafasi ya kazi

Naomba nafasi ya kazi

Mbona hujaweka kwenye uzi wako pale hapo juu
Mim nimemaliza mwaka huu katika chuo kikuu dar es salaam katika fani ya bachelor of commerce in tourism and hospitality management , sijaweka kwa sababu nasubiria matokeo yatoke ndo maana nikaamua niweke elimu yangu ya form six dhumuni kubwa ni kufanya kazi zile zote ambazo haziitaji mtu awe na ujuzi mkubwa customer service, marketing and sales, ulinzi, delivery n.k
 
Upo smart Sana .
 
Mcheki huyu Jamaa whatsapp 0628731833.. Anatafuta vijana wa kubandika mabango ya matangazo. Nafikiri ni mchongo wa tempo tu lakini sio mbaya angalao ukawa bize bize.
 
Mim ni Kijana wa kiume , mwenye afya njema elimu yangu kidato Cha sita. Naishi dar es salaam kimara. Nimetafuta sana kazi ila nimekosa ,nilikuwa naomba nafasi ya kazi yoyote ile , na nipo tayari kufanya kazi yoyote ile kwenye mazingira yoyote yale
Kazi ya shamba unaweza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom