Mzumbe au siyo!? Ajira siyo guarantee we soma kitu moyo mependaHabari ndugu wana Jf, naomba mwenye ufahamu kuhusu kozi ya health management system (Katibu wa Afya) hasa katika suala la mshahara na fursa nyinginezo zinazohusu kozi hii.
Asanteni
Unasema?Mzumbe au siyo!? Ajira siyo guarantee we soma kitu moyo mependa
Uwingi wa ajira? Pruv.. Mm sina ajira na chet cha from 6 kipo pia nimesomea medical anthropology, epidemiology na nafanya researchUnasema?
Ajira mbona ziko nyingi Sana tena maslahi makubwa sana
Ni mzumbe tu wanatoa hiyo na vigezo vyako vya kuchaguliwa ni vigumu na lazima ufaulu vizuri hesabu o level na biology lazima uwe umefaulu vizuri sana
Habari ndugu wana Jf,
Naomba mwenye ufahamu kuhusu kozi ya health management system (Katibu wa Afya) hasa katika suala la mshahara na fursa nyinginezo zinazohusu kozi hii.
Asanteni
Umeuliza vizuri lakini kwenye suala la mshahara dah! umenishangaza kwa kweli. Ukitumia hicho kigezo cha mshahara kwenye selection ya kozi utakuja kujialumu sana mkuu.Habari ndugu wana Jf,
Naomba mwenye ufahamu kuhusu kozi ya health management system (Katibu wa Afya) hasa katika suala la mshahara na fursa nyinginezo zinazohusu kozi hii.
Asanteni
mshahara na fursa me sijui, ila najua hiyo program ipo Mzumbe pale, inaitwa BHSM kwa kifupi, nenda kapige msuli utatoboa tu!!!Habari ndugu wana Jf,
Naomba mwenye ufahamu kuhusu kozi ya health management system (Katibu wa Afya) hasa katika suala la mshahara na fursa nyinginezo zinazohusu kozi hii.
Asanteni