Naomba mwenye kipande hiki cha video tafadhali

Naomba mwenye kipande hiki cha video tafadhali

Hizo waBongo hawawezi... huo ni urithi wa Wareno ipo Brazil na Angola.. au kidogo msumbiji!!
Bushmamy angalia usijevunja miguu..
 
Ha ha tuvitu tudogo huto wengi wanaweza sema watu walikuwa wanaona uvivu tu kufanya hivyo..
Embu Nielekeze ulivofanya ili siku nyingine nisisumbue watu
 
Back
Top Bottom