Naomba muongozo kwenye hili tafadhali.

AFRICAN BOYI

Senior Member
Dec 9, 2019
117
320
Wakuu natumai mko poa, Kuna jambo naomba mnipe muongozo tafadhali. Nimekuwa napenda Sana kwa siku nyingi kusukuma haya mabasi ya mikoani.

Napenda sana kusukuma hizo chombo, naombeni muongozo nianzie wapi mpaka kufikia hatua ya kukabidhiwa chuma la mafasa marefu.
 
Hiyo kazi lazima upate

Anza na kuongea na madereva utapata ushirikiano mkubwa Sana .

Cha muhimu kuwa makini barabarani na kauli nzuri ili Ku- make a difference.
 
Back
Top Bottom