O odamae Senior Member Nov 5, 2020 163 291 Nov 24, 2020 #1 Naomba kufundishwa online excel kwa anaefahamu(hesabu za excel)
R rumara Member May 11, 2013 36 16 Feb 3, 2021 #2 odamae said: Naomba kufundishwa online excel kwa anaefahamu(hesabu za excel) Click to expand... Habari. Umepata wakukusaidia kusoma Excel? Naomba unitumie DM tuongee, kama hujampata.
odamae said: Naomba kufundishwa online excel kwa anaefahamu(hesabu za excel) Click to expand... Habari. Umepata wakukusaidia kusoma Excel? Naomba unitumie DM tuongee, kama hujampata.
E EllySkyWilly JF-Expert Member Aug 28, 2020 2,204 2,083 Feb 3, 2021 #3 odamae said: Naomba kufundishwa online excel kwa anaefahamu(hesabu za excel) Click to expand... umeshindwa kujisomea peke yako mpaka ufundishwe, excel kweli
odamae said: Naomba kufundishwa online excel kwa anaefahamu(hesabu za excel) Click to expand... umeshindwa kujisomea peke yako mpaka ufundishwe, excel kweli
kichwa kikubwa JF-Expert Member Sep 24, 2013 2,275 1,698 Feb 3, 2021 #4 odamae said: Naomba kufundishwa online excel kwa anaefahamu(hesabu za excel) Click to expand... Ivi kumbe kuna hesabu za excel?
odamae said: Naomba kufundishwa online excel kwa anaefahamu(hesabu za excel) Click to expand... Ivi kumbe kuna hesabu za excel?
E EllySkyWilly JF-Expert Member Aug 28, 2020 2,204 2,083 Feb 3, 2021 #5 kichwa kikubwa said: Ivi kumbe kuna hesabu za excel? Click to expand... Ndio mkuu, excel ni pana mkuu,
kichwa kikubwa said: Ivi kumbe kuna hesabu za excel? Click to expand... Ndio mkuu, excel ni pana mkuu,
kichwa kikubwa JF-Expert Member Sep 24, 2013 2,275 1,698 Feb 4, 2021 #6 EllySkyWilly said: Ndio mkuu, excel ni pana mkuu, Click to expand... We unazungumzia formula za kukupa majibu au hesabu? Sorry, Mimi mwenyewe siijui vizuri excel.
EllySkyWilly said: Ndio mkuu, excel ni pana mkuu, Click to expand... We unazungumzia formula za kukupa majibu au hesabu? Sorry, Mimi mwenyewe siijui vizuri excel.
TIASSA JF-Expert Member Jun 17, 2014 2,893 3,423 Feb 4, 2021 #7 Au unazingumzia account package Kama quick book Ila Kama sum, fx, average,
Tape measure JF-Expert Member Nov 26, 2015 1,972 3,513 Feb 4, 2021 #8 Unaijua V look up formula? =Count if A>60, <90 Wengine wamezoea kulipwa kwa saa ukirudi bongo bado sana malipo yako chini mno. Afisa analipwa USD 45 sawa na laki moja kwa siku tena ajitegemee malazi na chakula huko site.
Unaijua V look up formula? =Count if A>60, <90 Wengine wamezoea kulipwa kwa saa ukirudi bongo bado sana malipo yako chini mno. Afisa analipwa USD 45 sawa na laki moja kwa siku tena ajitegemee malazi na chakula huko site.