Naomba msamaria mwema aweze kunisaidia

Naomba msamaria mwema aweze kunisaidia

Pilocarpine

Member
Joined
Jan 28, 2018
Posts
27
Reaction score
27
Poleni na majukumu wakubwa.
Ngoja niende straight foward kwenye lengo la kufungua huu uzi.
Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kuweza kunikopesha 350K,anisaidie,nitaacha cheti changu original cha form IV,kwa sababu sina dhamana ya kubwa zaidi ya hii,na nitailipa hii fedha kuanzia mwezi wa nne mwanzoni na kuimalizia mwezi wa tano.
Nahitaji kumalizia kulipa ada ili niweze kufanya mtihani wa UE.
Kuna uzi nilifungua kuhusu condition yangu kwa sasa unaweza ukausoma ili uweze kujua kwa nini nimefikia huku.
 
Back
Top Bottom