Naomba msamaha my R

Ndio status gani hiyo? Complicated relationship or no relationship?

Hatukuwa tayari kuachana hivyo tunaliendeleza kimya kimya ingawa sasa hivi kasi imepungua so technically it is complicated relationship

Tuliamua kuishi pamoja tu bila kufunga ndoa sababu ya cultural differences
 
Ndo wanaume wa Dar. Musoma huwezi kuta haya mambo mura.

Wewe unaongelea musoma gani ambayo watu hatuijui na unaongelea dar ipi ambayo bado hujafika

Heshima ni kitu cha bure na Mimi sio mtani wako hata siku moja so chunga sana dogo

Hii ni social media ambapo tuna share stories tu kitu ambacho hakiwezi kubadilisha uanaume wangu kama unabisha nipe Dada ako uone.
 
Pimbi wewe.
 
!
!
Unfortunately if you dont want to any mistake you will end up doing nothing.
 
Beyoncé - Best Thing I Never Had:
 
Wanajifunza ila wanarudia makosa sijui kwann, sijui kwakuwa tumeumbwa na kitu 'kusahau'
Ila kweli, hili somo haliwaingiagi kiurahisi, sijui nani kashika ufahamu wao kwenye hii sekta. Ataregret, ila akimpata mwingine anasahau tena khaaaa
 
!
!
Unfortunately if you dont want to any mistake you will end up doing nothing.
i agree with that but in law we have the term "void ab initio" ndio ambayo nayaongelea hapa zile mistake za kiumri ambazo nilishawahi kuzifanya

at 30's there is no room for mistakes sababu ulishakua na muda wa kufanya all mistakes at 20's na ignorance has no excuses
 
!
!
Ignaratia juris haud ekzekuta.
 
Ila kweli, hili somo haliwaingiagi kiurahisi, sijui nani kashika ufahamu wao kwenye hii sekta. Ataregret, ila akimpata mwingine anasahau tena khaaaa
Na tatizo huenda mbali zaidi hadi maybe akishaoa ndio anastuka, na hii iko pande zote hata kwa sisi ke, Mungu tu atusaidie.
 
Na tatizo huenda mbali zaidi hadi maybe akishaoa ndio anastuka, na hii iko pande zote hata kwa sisi ke, Mungu tu atusaidie.
mmh yani thamani ya kitu unaiona kabla hujawa nacho na Ukishakipoteza, ndo unambwela weee. Mungu atusaidie mnoooo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…