oldd vampire
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 253
- 52
habari zenu wana jf doctor,samahani naomba nieleweshwe kuhusu kisukari,unco wangu amekipata takriban miaka mi8 saiv ila anakunywa sana pombe,lakni hatumii dawa sana mfano kuchoma insulin daily,sasa nashindwa kuelewa nina rafk angu nae anakisukari anakunywa pombe na anachoma insulin daily na yy ana miaka kumi tangu kimuanze,sasa najiuliza kwanini my unco yeye hatumii injection daily?inamaana vinatofautiana?na je huyu rafk angu akimpa mimba a gal mtoto anaeza kua na kisukari?na ni vyakula gani mtu wa kisukari anatakiwa epuka?