naomba msaada

oldd vampire

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
253
52
habari zenu wana jf doctor,samahani naomba nieleweshwe kuhusu kisukari,unco wangu amekipata takriban miaka mi8 saiv ila anakunywa sana pombe,lakni hatumii dawa sana mfano kuchoma insulin daily,sasa nashindwa kuelewa nina rafk angu nae anakisukari anakunywa pombe na anachoma insulin daily na yy ana miaka kumi tangu kimuanze,sasa najiuliza kwanini my unco yeye hatumii injection daily?inamaana vinatofautiana?na je huyu rafk angu akimpa mimba a gal mtoto anaeza kua na kisukari?na ni vyakula gani mtu wa kisukari anatakiwa epuka?
 
heh, kisukari siku hizi kinaambukizwa kwa kujamiiana?

Au hamfundishwi hata magonjwa ya kurithi ni yapi?

Hivi hivi shule mnaanzia fomu 7?
 
kongosho my dear sijasema kina ambukiza kwa njia ya kujamiina,nachotaka kujua ni kama sio cha urithi,na huyo mtu alikipata tuu,inamaana hata watoto wake watakua nacho?heri yako wewe uliesoma biology
 
Acha ukorofi basi, mwenzio nimeokoka ujue. Anamaanisha kwa kurithi banaa.
heh, kisukari siku hizi kinaambukizwa kwa kujamiiana?

Au hamfundishwi hata magonjwa ya kurithi ni yapi?

Hivi hivi shule mnaanzia fomu 7?
 
,Diabetes is a genetic disorder,kuna probability kwamba huwa diabetes inarun katika baadhi ya generation.Diabetes ipo ya aina tofauti na kila mojawapo ina treatment zake. Pia inaweza kuwa triggered,mostly na vyakula,vinywaji tunavyotumia.walio kwenye trend ya familia ya aina hii itakuwa kwao rahisi kupata,kuliko familia ambayo haina historia hiyo,i have seen it, in some people.Ila mtu yoyote anaweza kupata asipozingatia afya yake.
Diabetes is a chronic condition, and is for life.
huyo uncle inabidi amconsult doctor achekiwe ili apewe right medication.pombe,fancy food,sugars,fast foods, faty foods ni hatari kwa mgonjwa wa kisukari.
 
tanx issac,alot
 
Back
Top Bottom