Naomba msaada

Naomba msaada

Joined
Apr 27, 2017
Posts
29
Reaction score
9
Jaman mimi ni kijana aliyehitimu kidato cha nne mwaka Jana ila nilimalizia Uganda na nimeleta matokeo Yangu necta nkapata equivalent results na nkapata dvn 2 ya hapa Tanzania sasa mzazi wangu hataki niendelee na Advance na anataka niende Chuo na kila nkimletea application form ya Chuo anaikataa na kuiwekea vikwazo nimehisi kuchanganyikiwa na sina la kufanya naomba mnisaidie nifanyeje
 
Pole sana mkuu kwa nini sasa hataki hiyo form ya chuo??
 
mzazi wako ana maamuzi mazuri tu ila kwanza angalia ki2 ambacho anataka ww usomee je kina ajira? kama hakina mwite umkalishe kwa upole tu umwelezee hali halisi na kwa nn ww unataka kwenda advance ikiwezekana nenda ya govt hata kama ni mbali mpe 2 moyo na uende ukapige msuli kijana MASOMO MEMA
 
Back
Top Bottom