Sio rahisi kama unavyodhani hivyo mkuuwakati unasubiri wateja wa Samaki na dagaa ,,,
hapohapo ziwani au mwaloni tafuta kibarua hutakosa pesa kwa siku hata ya kula.
Mbona kutumiwa hela na mtu msiyefahamiana ndio sio rahisi zaidi.Sio rahisi kama unavyodhani hivyo mkuu
Sio rahisi kama unavyodhani hivyo mkuu
Unafikiri kutumiwa hela ni rahisi mkuuSio rahisi kama unavyodhani hivyo mkuu
Sio rahisi kama unavyodhani hivyo mkuu, kila mtu ana watu wake, unasema kufunga box au rolly la samaki kila mtu ana watu wake ata kwenye samaki Kuna connect au connection mkuuMi nimepita kote huko na mpaka nakoment hapa naelewa.
Vibarua vipo na kama hutaki kuvifanya ili upate mtaji wa samaki na dagaa sio Latina.
Kama unaona shida unaacha sijakulazimisha mkuu hii ni biashara ndo nimeanza Sina kitu Wala mtaji hayo yote naelewaUnafikiri kutumiwa hela ni rahisi mkuu
Unavyosema umeanza biashara huna mtaji unamaanisha nini?Kama unaona shida unaacha sijakulazimisha mkuu hii ni biashara ndo nimeanza Sina kitu Wala mtaji hayo yote naelewa
Sina ata senti unatuma hela miki nakutafutia bidhaa unayotakaUnavyosema umeanza biashara huna mtaji unamaanisha nini?
Uhaminifu wangu. Ndo utaniita Mimi tapeli au mwaminifu nataka mwenye mfano, Sina mtaji nataka kuwaoneshaNitaamini vipi kama nikikutumia pesa utanitumia mzigo wangu?
Nani anakuwa shahidi hapo?
Ndio maana nimesema ni ngumu Mkuu katika zama hizi za utapeli, ungeanza huko huko ziwani,Sina ata senti unatuma hela miki nakutafutia bidhaa unayotaka
DaahMbona kutumiwa hela na mtu msiyefahamiana ndio sio rahisi zaidi.
Dagaa bei gani?Uhaminifu wangu. Ndo utaniita Mimi tapeli au mwaminifu nataka mwenye mfano, Sina mtaji nataka kuwaonesha
Namba zangu yote majina yangu Sina tabia Wala hulka ya utapeli nasema natafuta mtu wa mfano harafu aje kusema, atake dagaa au samaki namba yangu hii 0622730684Ndio maana nimesema ni ngumu Mkuu katika zama hizi za utapeli, ungeanza huko huko ziwani,
Kwa mfano mtu wa mbali anapataje hakikisho la pesa yake na hamfahamiani?
Sado 15000 dagaa wabichi wenye nyama wasio na mchanga, kukaanga nakaanga Mimi bei inatofautiana pia, kuangizwa dagaa pia bei zimetofautianaDagaa bei gani?
Wale wa kukaanga?
Wewe utapaje ujira wako hapo kwenye kuagizwa dagaa?
Kuna mtu anafanya hiyo biashara Ila mtu wake kazingua. Naweza kukuunganisha ukinipa majibu ya kuridhisha.
Dah mzee mwenzangu ,heshima yako nimeipenda sana komenti yako ,hakika aifanyie kazi mnowakati unasubiri wateja wa Samaki na dagaa ,,,
hapohapo ziwani au mwaloni tafuta kibarua hutakosa pesa kwa siku hata ya kula.