jaffari odhiambo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 526
- 13
Jamani naomba msaada kwa ambaye anafahamu. Nina simu aina ya HUAWEI na ina uwezo wa kudownload vitu vingi. Shida yangu ni kutaka kufahamu namna ya ya kuangalia ITV na STAR TV live. Sasa nikijaribu ninashindwa kuwa kuna password fulani na sikujua. Anayefahamu anieleweshe jamani.