Naomba msaada wenu please!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada wenu please!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Papizo, Feb 21, 2009.

 1. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Nilikuwa na tatizo kidogo ambalo lipo nje ya uwezo wangu na pia vile vile nakosa time ya kuweza kukaa chini na kuweza kusolve hilo swala...Nilikuwa na laptop aina ya COMPAQ nimenunua nadhani hata 5 month bado haijafikisha sasa hiyo laptop inatatizo kidogo na hilo tatizo nikiwasha inajiristart yenyewe nadhani mara ya kwanza ilinitokea hilo swala nikapeleka kwa fundi akalekebisha ikawa fresh na nikatumia vizuri kabisa sasa hilo tatizo limejiludia tena nikampelekea yule yule aliyetengeneza mara ya kwanza akaniambia niiache hiyo laptop alafu ataicheck vizuri so leo kanipigia simu anasema kwamba inahitajika HARD DRIVE nyingine ambayo inauzwa hela nyingi kidogo I mean kama £89 sasa kwa mahesabu ya kwetu TZ ni 169,000/= sasa nilikuwa nashangaa zaidi ni kweli inawezekana HARD DRIVE iuzwe kwa hiyo hela je nifanye nini maana sitaki HARD DRIVE kubwa sana labda ingekuwa na ukubwa wa maximum nadhani ingenitosha sasa sijui wadau mnanishauri nini zaidi ni nunue mwenyewe shop hard drive nyingine nimpelekee au inakuwaje????Na mimi mgeni wa hivi vitu je maximum hard drive zinauzwa bei gani???Ok nategemea nitapata majibu mazuri...Pamoja!!
   
 2. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hard drive inategemeana na ukubwa ziko mpaka za laki mbili na nusu.Ila nahisi ili tatizo linaweza kutatuliwa,Moja kuna weza kuwa na mdudu katika boot sector ambaye kila ukiwasha inakwenda mpaka kwenye display window xp then in shutdown then inawaka tena..kama restart.

  Kwanza kama huna data za muhimu ndani unaweza format hdd...na kurudishia OS upya ila hili ni baada ya kukosa kabisa njia mbadala.

  Pili unaweza chukua hiyo HDD na kuifanya kama slave hdd kwenye computer ingine unatoa data zako na kuformat.

  Tata hii usifanye mwenyewe kama huna uzoefu na mambo haya..waone mafundi...wakusaidie...ili uwe kwenye safe side.

  Regards
  Buswelu
   
 3. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180


  Nashukuru sana mkuu kwa wazo lako zuri......Sasa me nadhani sina ujuzi zaidi kuhusu hilo swala.....Sasa mfano hiyo HARD DRIVE ukubwa may be 20GB OR 30GB how much pengine inaweza kucost???

  Then nashukuru sana mkuu kwa kunielekeza hapo juu ila nadhani hiyo ni kama process ndefu kidogo ila rahisi kama mtu anajua zaidi kuhusu mambo hayo mambo.....ila nashukuru sana mkuu!!
   
 4. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2009
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  mi nadhani tatizo la laptop yako kuji-restart kipindi unapoiwasha sio kubwa sana kwamba hard disc yake imekufa,kuna kitu kinaitwa hard disc killer,hii inaua completely hdd yako,sasa ni kwamba usifanye uamuzi wa haraka kununua hdd, itoe hdd yako kwenye laptop then i-test kwenye desktop,ikiwa haifanyi kazi basi hapo huna ujanja,nunua tu nyingine,na ikifanya kazi basi tatizo ni OS imecorrupt,ipe format laptop na mambo yatakuwa sawa,kwa sasa nipo india,nilishangaa kidogo ulivyouliza hdd yenye 30 GB inauzwaje,labda kutokanan na mazingira,ila kwa huku hiyo laki moja ya kibongo unapata hdd yenye ukubwa wa 120GB,na ni mpya sio feki........sasa kama una mtu india jaribu kuwasiliana nae akutumie,kwani ukiweka ya 30GB naona sio satisfactory sana,anyway labda ni matumizi ya kawaida...........
   
 5. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #5
  Feb 22, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Kama unatumia hdd ya ide then lazima iwe gali na kwa tanzania sasa ziko chache sana hiyo technologia ndio inaishia ishia hiyo --- kwa bei hiyo uliyotaja ya dola 89 hata hivyo ungesema hiyo hdd ina capacity gani hapo mjini dar hdd ya kuanzia 80 gb inakwenda kuanzia dola 50 hiyo ni sata so inabidi upite madukani ujue

  tatizo lako inaweza kuwa mwanzo ilipatwa na virus je huyo fundi amekupa report ya computer nzima iko kwenye hali gani ? Inawezekana hata ni memory pia au kitu kingine kutegemeana na mazingira ya kuhifadhi kifaa
   
 6. Kipala

  Kipala JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2009
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 3,537
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Si rahisi kushauri kwa mbali lakini nakubaliana na sizinga ni muhimu uhakikishe kama ametoa hdd na kuijaribisha kwenye mashine nyingine. Halafu kuwasha kompyuta yako kwa hdd tofauti. Wakati mwingine huwezi kuwa na uhakika kuhusu fundi je anajua kweli anachosema? Haitakuwa rahisi kwako kama mwenye hujui mambo lakini umwulize swali hili.
   
 7. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Papizo kama hujapata solution na uko bongo please ni PM nikupe mawasiliano ya mtu akufanyie kazi hiyo.Naona wengi tuko mbali nawe...pengine kusoma maelekezo ni ngumu pia tunatofautiana katika kuelewa jambo moja mpaka jingine...atakufanyia kwa free...hii ni ku kuweka privacy ya number ya mtu...
   
 8. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180

  Asante sana mkuu kwa maelezo yako nadhani swala na kitu muhimu nimeshakisoma hapa so nitachofanya ni kwamba nifatilie kwa huyo fundi aniambie tatizo kamili liko wapi then nitazama tena hapa jamvini kuweka kila kitu hamna noma...Pia kama ikijulikana tatizo ni hilo basi itabidi nifanye mpango kuagizia kama ulivyosema hapo juu..Ok asante sana!!
   
 9. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180

  Asante sana mkuu.ila hapo umeniacha mbali kidogo nitajaribu kwanza kucheck ni ya aina gani then as soon nitakujulisha hamna shaka mkuu..Then hiyo HDD sijawahi kucheck inaukubwa wa aina gani ila jamaa ndio kama sijui anataka kunipiga changa la macho au vipi ila nitajitahidi sana nijaribu kumfatilia maana laptop sasa hivi haipo kwangu ila ipo kwa huyo fundi aliyeniambia kwamba inabidi nitoe hiyo hela...ila kitu kitu nitamwaga hapa jamvini ikifika kesho mchana....asante sana pia kwa ushauri wako....
   
 10. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180

  Yeah asante mkuu kwa ushauri wako huyo fundi alinicall nakuniambia kwamba HDD imekufanya inabidi nitoe hizo hela ili aniwekee nyingine na laptop ifanye kazi ila nitaifatilia kesho na kumuuliza maswali mengi zaidi na kujua pia.....
   
 11. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180

  Hamna noma mkuuu nashukuru kwa kutaka kunisaidia zaidi!!check your PM
   
Loading...