EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,189
- 20,637
Nenda tu,ila ubebe hata panga viunoni mwako,yajayo yanafurahisha
PointHuyo wakala nenda kwake, una ushahidi wa meseji kuwa hela ilitoka mara mbili kwake, akikataa mwambie unaenda kumripoti kwenye tawi au hata polisi
Hilo linaeleweka labisa na linafahamika, hata wakala saa nyingine anaweza kukutumia hela mtandao ukagoma, akatuma tena ikakubali, baadae inakuja kumbe alituma mara mbili, ilishanitokeaga mimi nikarudisha hela
Ushawai nitokea hii nilitoa hela baclays bank aiseee hela naisikia kabisa inahesabiwa alaf ghafla ikakata nikaambiwa connection down alaf ndio ilikuwa nauli kesho kipande ndege niondoke nilipagawa alaf kuangalia salio kwenye simu hela hakuna nilipagawa sikujua nianzie wapi alag bank ni ya nje ya nchi nilifanya tu kutumia visa card na sikupata hiyo hela Hadi leo niliamua kumshukuru mungu nikakopa Kwa wadau nikaamsha siku inayofuata.Habari za usiku,,jamani nisaidieni nifanyaje. Juzi nilikua kkoo nikatoa Pesa kwa Crdb wakala, mtandao ulisumbua sana badae ikatoka akanipa. Nikaondoka. Sasa Leo nafsi ikaniambia angalia salio,,naangalia nakuta ile Pesa niliyotoa ,,imetoka na nyingine kiasi kile kile ,,nikapanic kurudi kwenye msg zipo mbili zinaonesha hela ilitoka Mara mbili ( laki 2 ×2=400000/=) nimepanic sijui naanzia wapi ,,nataka kesho niende kwa Yule wakala je atakubali ndo kinachonipa headache ,,nifanyaje nipate Pesa yangu??? Mwenye wazo wapendwa,Ahsanteni. Nilikua na Mr alinizuia kabisa kutoa pesa kwa wakala kwa vile niliona ATM ziko mbali nikalazimisha,,sasa nahaha mwenyewe kitandani naogopa hata kusema😤
Hilo ni tatizo limetokea kwenye system..Ntaenda kesho,, nitaleta feedback
Faida ya ubishi.mking'ang'aniaga kitu nyie viumbe hadi mnaharibu.Habari za usiku,,jamani nisaidieni nifanyaje. Juzi nilikua kkoo nikatoa Pesa kwa Crdb wakala, mtandao ulisumbua sana badae ikatoka akanipa. Nikaondoka. Sasa Leo nafsi ikaniambia angalia salio,,naangalia nakuta ile Pesa niliyotoa ,,imetoka na nyingine kiasi kile kile ,,nikapanic kurudi kwenye msg zipo mbili zinaonesha hela ilitoka Mara mbili ( laki 2 ×2=400000/=) nimepanic sijui naanzia wapi ,,nataka kesho niende kwa Yule wakala je atakubali ndo kinachonipa headache ,,nifanyaje nipate Pesa yangu??? Mwenye wazo wapendwa,Ahsanteni. Nilikua na Mr alinizuia kabisa kutoa pesa kwa wakala kwa vile niliona ATM ziko mbali nikalazimisha,,sasa nahaha mwenyewe kitandani naogopa hata kusema![]()
Haaaa Mke wangu kumbe ule muda nakukatalia wewe uling'ang'ania tu umeona sasa ila usijali maana huyo wakala alikuwaga Demu wangu zamani usijali atakuelewa tu...Nitaleta sina amani kabisa,, km najiona akigoma Yule dada
Mpe taarifa Mr wako utaona pesa yako unaipata bila ugumu!!Habari za usiku,,jamani nisaidieni nifanyaje. Juzi nilikua kkoo nikatoa Pesa kwa Crdb wakala, mtandao ulisumbua sana badae ikatoka akanipa. Nikaondoka. Sasa Leo nafsi ikaniambia angalia salio,,naangalia nakuta ile Pesa niliyotoa ,,imetoka na nyingine kiasi kile kile ,,nikapanic kurudi kwenye msg zipo mbili zinaonesha hela ilitoka Mara mbili ( laki 2 ×2=400000/=) nimepanic sijui naanzia wapi ,,nataka kesho niende kwa Yule wakala je atakubali ndo kinachonipa headache ,,nifanyaje nipate Pesa yangu??? Mwenye wazo wapendwa,Ahsanteni. Nilikua na Mr alinizuia kabisa kutoa pesa kwa wakala kwa vile niliona ATM ziko mbali nikalazimisha,,sasa nahaha mwenyewe kitandani naogopa hata kusema![]()
nakuombea Mungu hasigome akupe jasho lakoNitaleta sina amani kabisa,, km najiona akigoma Yule dada
Yani akijua nitakoma,,,amani sina kabisaFaida ya ubishi.mking'ang'aniaga kitu nyie viumbe hadi mnaharibu.
Daaah,,pole sana ,,najiandaa kwenda sahiviUshawai nitokea hii nilitoa hela baclays bank aiseee hela naisikia kabisa inahesabiwa alaf ghafla ikakata nikaambiwa connection down alaf ndio ilikuwa nauli kesho kipande ndege niondoke nilipagawa alaf kuangalia salio kwenye simu hela hakuna nilipagawa sikujua nianzie wapi alag bank ni ya nje ya nchi nilifanya tu kutumia visa card na sikupata hiyo hela Hadi leo niliamua kumshukuru mungu nikakopa Kwa wadau nikaamsha siku inayofuata.
Daaah,,pole sana ,,najiandaa kwenda sahiviUshawai nitokea hii nilitoa hela baclays bank aiseee hela naisikia kabisa inahesabiwa alaf ghafla ikakata nikaambiwa connection down alaf ndio ilikuwa nauli kesho kipande ndege niondoke nilipagawa alaf kuangalia salio kwenye simu hela hakuna nilipagawa sikujua nianzie wapi alag bank ni ya nje ya nchi nilifanya tu kutumia visa card na sikupata hiyo hela Hadi leo niliamua kumshukuru mungu nikakopa Kwa wadau nikaamsha siku inayofuata.
Nimekoma kabisa,,Mumeo alikushauri umesema.
muwe mnawasikiliza wame zenu siku moja moja... sio mbaya
rudi ushahidi si unao atakubali
Tupe mtonyo sasaNashukuru Mungu nimepewa pesa yote, sijaamini kabisa, ahsanteni wote mlionitia moyo na kunipa maelekezo na wale mlionishushua sijasikiliz mume. Theeenkyuuu
Rahisi sana.toa taarifa kwa benki husika.
Atatakiwa aonyeshe recepts na sahihi zenu wawili.akishindwa kuthibitisha anatakiwa akurejeshee.