Nikilewa mniache
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 19,299
- 51,941
Hahah, ungekuwa na moyo wa kunipa kweli ungenitumiaah... Kumbuka kuja hadi hapo natakiwa kutumia si Chi ya Tsh 35,000Njoo nikupe jero
Hahah, ungekuwa na moyo wa kunipa kweli ungenitumiaah... Kumbuka kuja hadi hapo natakiwa kutumia si Chi ya Tsh 35,000Njoo nikupe jero
hii ndio jf kila MTU kapanda ndege
Ushawai nitokea hii nilitoa hela baclays bank aiseee hela naisikia kabisa inahesabiwa alaf ghafla ikakata nikaambiwa connection down alaf ndio ilikuwa nauli kesho kipande ndege niondoke nilipagawa alaf kuangalia salio kwenye simu hela hakuna nilipagawa sikujua nianzie wapi alag bank ni ya nje ya nchi nilifanya tu kutumia visa card na sikupata hiyo hela Hadi leo niliamua kumshukuru mungu nikakopa Kwa wadau nikaamsha siku inayofuata.
Kwa uthibitisho upi? kama alipochukua pesa alisaini, sawa. Kawaida ukichukua pesa kwa wakala kuna fomu unasaini. Ila siku hizi hatua hiyo wengi wanaitelekeza. Maafa yake ndio hayo. Kukusaidia hizo mesegi kamsukumie mzigo kama hajakusaidia.Mrudie wakala akiataa. Nenda kwa boss wake ( CRDB ) utapata haki yako.
CRDB ni BRAND kubwa hawawezi kujiharibia kwa pesa kidogo namna hiyo!
Umepanic sana wakati jambo ni rahisi,muhamala unaonekana umetoka pitia wakala yupi ni jambo simple sana nenda na msg za muhamala kwa wakala ikishindikana akiruka basi nenda crdb tawi lolote waeleze kilichotokea watajua cha kukusaidia...siku ingine huwe unamsikiliza mumeo ungeenda kwenye ATM haya yasingetokeaHabari za usiku,,jamani nisaidieni nifanyaje. Juzi nilikua kkoo nikatoa Pesa kwa Crdb wakala, mtandao ulisumbua sana badae ikatoka akanipa. Nikaondoka. Sasa Leo nafsi ikaniambia angalia salio,,naangalia nakuta ile Pesa niliyotoa ,,imetoka na nyingine kiasi kile kile ,,nikapanic kurudi kwenye msg zipo mbili zinaonesha hela ilitoka Mara mbili ( laki 2 ×2=400000/=) nimepanic sijui naanzia wapi ,,nataka kesho niende kwa Yule wakala je atakubali ndo kinachonipa headache ,,nifanyaje nipate Pesa yangu??? Mwenye wazo wapendwa,Ahsanteni. Nilikua na Mr alinizuia kabisa kutoa pesa kwa wakala kwa vile niliona ATM ziko mbali nikalazimisha,,sasa nahaha mwenyewe kitandani naogopa hata kusema![]()
Sikusaini mahali, Hela ilirudi,, wakala alikataa bank wakatoa order nipewe, akanipaKwani ulisaini risti mbili?
Sikusaini mahali,, ingawa bank walitoa order nipewe baada ya wakala kukataaKwa uthibitisho upi? kama alipochukua pesa alisaini, sawa. Kawaida ukichukua pesa kwa wakala kuna fomu unasaini. Ila siku hizi hatua hiyo wengi wanaitelekeza. Maafa yake ndio hayo. Kukusaidia hizo mesegi kamsukumie mzigo kama hajakusaidia.
Asante mwaya!Poleee
Mina cute nakusalimia!Ulete mrejesho kesho shoga
Sikusaini walaMimi ni mfanyabiashara huwa inanitokea Mara nyingi mtandao ukigoma ikaonekana nimekatwa huwa nampa tahadhari hapo hapo wakala kuwa mtandao umeleta shida salio likisoma nakuja kuchukua pesa yangu halafu si wanakitabu chao pale vipi ulisaini?
Mkuu kama hazikutoka ktk mashine baada ya wewe kuondoka lazima zilirudishwa kwenye account yako baadae au siku nyingine, sema hukuangalia statement tena baada ya muda.Ushawai nitokea hii nilitoa hela baclays bank aiseee hela naisikia kabisa inahesabiwa alaf ghafla ikakata nikaambiwa connection down alaf ndio ilikuwa nauli kesho kipande ndege niondoke nilipagawa alaf kuangalia salio kwenye simu hela hakuna nilipagawa sikujua nianzie wapi alag bank ni ya nje ya nchi nilifanya tu kutumia visa card na sikupata hiyo hela Hadi leo niliamua kumshukuru mungu nikakopa Kwa wadau nikaamsha siku inayofuata.