Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Kuna moja iko kule chini sokoni, nyingine ipo karibu na bakhresa paleHivi ziko wapi?? Kkoo shimoni?
Kuna moja iko kule chini sokoni, nyingine ipo karibu na bakhresa paleHivi ziko wapi?? Kkoo shimoni?
Nakuja kuwapa soon
Naomba namba zako plizNashukuru Mungu nimepewa pesa yote, sijaamini kabisa, ahsanteni wote mlionitia moyo na kunipa maelekezo na wale mlionishushua sijasikiliz mume😜😜. Theeenkyuuu
Mimi hapaaUmepotea
Za nini mpenziNaomba namba zako pliz
ukipata tena matatizo nikusaidieZa nini mpenzi
ukipata tena matatizo nikusaidie
[/QUO
Dooh,, Yani nipate tenaaa???
Naunga mkono hoja, meseji unayo ya uthibitisho hivyo mfuate wakala na usionyeshe hali ya kuwa na uwoga au wasiwasi wowote, mfuate straight, chukua simu fungua meseji weka mbele yake, mwambie lini ulitoa na jinsi hali ilivyokuwa then subiri response yake.Huyo wakala nenda kwake, una ushahidi wa meseji kuwa hela ilitoka mara mbili kwake, akikataa mwambie unaenda kumripoti kwenye tawi au hata polisi
Hilo linaeleweka labisa na linafahamika, hata wakala saa nyingine anaweza kukutumia hela mtandao ukagoma, akatuma tena ikakubali, baadae inakuja kumbe alituma mara mbili, ilishanitokeaga mimi nikarudisha hela
😀😀😀😀umecharukanaomba namba zako pliz
Niliipata mkuu, alinipaNaunga mkono hoja, meseji unayo ya uthibitisho hivyo mfuate wakala na usionyeshe hali ya kuwa na uwoga au wasiwasi wowote, mfuate straight, chukua simu fungua meseji weka mbele yake, mwambie lini ulitoa na jinsi hali ilivyokuwa then subiri response yake.
naomba bhana😀😀😀😀umecharuka
PoleeNilipoteza helA yangu kwa sim banking ya crdb na kuanzia hapo nikahamia bank nyingine
Sasa utaniachaje KwiniiNiliipata mkuu, alinipa
Pole bossNilipoteza helA yangu kwa sim banking ya crdb na kuanzia hapo nikahamia bank nyingine
Sasa utaniachaje Kwinii