Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
Ngoja waje wakupe muongozo(in smart911 voice)
Hhahahahahhhahahahah leo mmi nacheeekaa
Ngoja waje wakupe muongozo(in smart911 voice)
Ilivokua ee?Tupe mtonyo sasa
why bebeHhahahahahhhahahahah leo mmi nacheeekaa
why bebe
Nenda hardware nunua bispis, koleo, kisu na panga pitia petrol station nunua petrol lita mbili, kiberiti, then mfuate incase kazingua utaangalia kinachomfaa kati ya hivyo au vyote kwa hatua au kwa mpigo.
Kuna siku nilihangaika sana kutafuta ATM pale kkoo yaani nilihaha vibaya mno, pole sana mpenziNashukuru Mungu nimepewa pesa yote, sijaamini kabisa, ahsanteni wote mlionitia moyo na kunipa maelekezo na wale mlionishushua sijasikiliz mume. Theeenkyuuu
Nashukuru Mungu nimepewa pesa yote, sijaamini kabisa, ahsanteni wote mlionitia moyo na kunipa maelekezo na wale mlionishushua sijasikiliz mume😜😜. Theeenkyuuu
Kuna siku nilihangaika sana kutafuta ATM pale kkoo yaani nilihaha vibaya mno, pole sana mpenzi
ATM za Bongo ni nuksi. Mimi ilinikuta CRDB. Nimeweka kadi nitoe laki nne mashine ikachanga kama inahesabu. Halafu kimya. Nikiangalia salio naona fedha zimepungua. Nikapiga simu (namba zilizopo kwenye ATM) wakaniambia kama hazikutoka nisuburi huenda zikarudi. Kweli baada ya muda zikakuta salio limerudi kawaida. Ila mizwenge ya aina hii huwa inatokea sana kwenye ATM zao. Sijui zina hitalafu gani.Ushawai nitokea hii nilitoa hela baclays bank aiseee hela naisikia kabisa inahesabiwa alaf ghafla ikakata nikaambiwa connection down alaf ndio ilikuwa nauli kesho kipande ndege niondoke nilipagawa alaf kuangalia salio kwenye simu hela hakuna nilipagawa sikujua nianzie wapi alag bank ni ya nje ya nchi nilifanya tu kutumia visa card na sikupata hiyo hela Hadi leo niliamua kumshukuru mungu nikakopa Kwa wadau nikaamsha siku inayofuata.
Unahangaikaje na wifi niko hapa![]()

siku hiyo hata simu nilikuwa sina wifi yangu.Ushaliwa wewe,jifute tuuUnanitishaaa![]()
Jouri mbayaaaa😅😅Unamskilizaje sasa🤣😍
Ushaliwa wewe,jifute tuu
Hivi ziko wapi?? Kkoo shimoni?Kuna siku nilihangaika sana kutafuta ATM pale kkoo yaani nilihaha vibaya mno, pole sana mpenzi
Nakuja kuwapa soonMkuu mrejesho