belie
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 387
- 260
Habari zenu jamani
Nina rafiki yangu kipenzi anahitaji ushauri jamani, yaani huyu shoga yangu anateseka sana katika mapenzi, kiukweli hajawahi kukaa na boyfriend zaidi ya miezi sita wasiachane, ni hivi, kuna classmate wangu nilikutana nae hotel moja hivi,
nilienda ku swim na huyu shoga angu, sasa wakapendana wenyewe na kubadilishana contact bila mimi kujua, ila badae akaja kunambia baada ya kuniuliza vimaswali vya hapa na pale kama namjuaje, alikua vipi mwanzo.
Sasa anacholalamika yeye ni kwamba huyo shemeji wangu (classmate) ana matusi sana, wana mwaka mmoja sasa katika mapenzi yao, na ukiwaona kama ndege vile jinsi wanavyopendana, yaani mpaka nasikia raha yani maana kalia sana kuhusu mapenzi, ila sasa hivi naona hali imeanza kubadilka,
yeye anachodai ni kwamba anatukana kupitiliza na kama heshima imeshuka hivi akiwa na hamu na yeye utasikia anamwambia nina hamu njoo kwangu yaani lile neno lenyewe kabisa mara una makalio mazuri mke wangu, mara wewe malaya uko wapi, yaani ni matusi, sasa analia sana anasema hamueshimu tena, sijui kashapata mwingine haelewi.
Nimejaribu kuongea na huyo kaka akasema anapitiwaga tu, ila anamuheshimu na anampenda, nikamuuliza unavuta bangi, akasema hapana. na nikimwambia hivyo ataacha siku mbili anarudia tena.
Embu naomba mnisaidia kushauri hawa watu maana ni kila siku naletewa kitu kile kile, mi mwenyewe yangu yananishinda shoga yangu anadai ana kama miezi miwili tangu tabia hii ianze.
Nawasilisha.
Asante.