AbouZakariya
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,644
- 2,370
Habari zenu wakuu, naomba msaada wa mamna ya kuweza kumtumia mtu file ambayo itazidi mb 16.
Mimi natumia samsung note 3 ambayo uwezo wake wa mwisho kutuma ni 16 mb pekee, sasa nina ulazima wa kutuma file ya 60 mpaka 70 lakini nakwama sasa wakuu, je kuna yeyote ajuaye ujanja wowote wa kuniwezesha kufanya ili simu yangu iwe na uwezo huo, au labda kuna ajuaye application yoyote inayoweza kuniwezesha kufanya hivyo.
Tafadhali naomba msaada wenu wadau.