Naomba msaada wako wa hali na mali

Naomba msaada wako wa hali na mali

teh teh we fred tunashndwa kukusaidia mana huja2pa imei zake,fanya hvyo
 
usiwe unaandika post mbili mbili.
 
Wanashndwa kukusaidia sabab hujakamlsha data zote.
Taja imei yake sahv
 
sory network ilikua inasumbua ndio maana niliandika mara mbili nilipo submit ilikua inaonesha inafail bt aim sorry kwa usumbufu
 
Poa ndug download hki kiprogram ktakusaidia tatizo lako
mediafire.com/?o2571d2oov2kbj9
 
Back
Top Bottom