St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,991 Reaction score 5,234 Jul 11, 2015 #1 baada ya kupotea siku nyingi nimejitokeza tena waungwana nikiwa na ombi dogo tu.Naomba yeyote mwenye picha ya First Lady mtarajiwa au Mrs Magufuli aitupie hapa ili tumfahamu.
baada ya kupotea siku nyingi nimejitokeza tena waungwana nikiwa na ombi dogo tu.Naomba yeyote mwenye picha ya First Lady mtarajiwa au Mrs Magufuli aitupie hapa ili tumfahamu.
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,280 Jul 12, 2015 #2 Welcome back saint Black Cat.Mtazame huyu mama hapa chini akiwa na mumewe
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Jul 12, 2015 #3 Huyu .ni mke mdogo au mkubwa....???