Jamani, Kuna mtu kachaguliwa kusoma Bachelor of Science in Nursing- Catholic University of Health and Allied Science, amekosa mkopo. Amekata rufaa kama walivyoelekeza. Anauliza kama kuna taasisi inayoweza kumfadhili au kumkopa ili afanye ufuatiliaji ili hata akikosa mkopo kwa loan board apate pengine. Naomba msaada wenu ili tuweze kumsaidia huyu ndugu atimize ndoto yake.
Mawasiliano: 0765300981.Asante.
Mawasiliano: 0765300981.Asante.