Mkuu imechukua yote GB 45?W8 imekupunguzia storage
Itakuwa haujafanya clean installation, kwahyo ile windows 7 bado ipo ndo maana storage imelika hivyo.Ndg wana jf naomba kusaidiwa
Nina laptop aina ya HP min probook 4331s wakati nainunua ilikuwa na hard disk (HD) 640 nikabadili window 7 na kuweka window 8 .sasa cha ajabu imepungua HD ni 121+474= 595 ( yaan total ya partition C na D ) naomba msaada ili niweze kuiongeza ukubwa wake n je hiyo nafasi ipo kwenye partition au sehemu gani?
Nifanye nn mkuu ?Itakuwa haujafanya clean installation, kwahyo ile windows 7 bado ipo ndo maana storage imelika hivyo.
Nashukuru ndgmkuu window 8 haiwez kula space zote hizo.
Window ukubwa wake ni Gb 4.5 hv, haizid hapo hata km window 8.1,
window 7 inachezea kweny Gb 3 hiv, window 10 inachezea 2 hiv.
Pc yako inatatizo, ningekuwa karibu ningeicheki. Lkn mm nipo mwanza
Nini nifanye mkuuItakuwa haujafanya clean installation, kwahyo ile windows 7 bado ipo ndo maana storage imelika hivyo.
Acha kuwa mbishi sikiliza unachoambiwa kama ingekuwa unafahamu c ungekaa huko huko na ujuz wakoNifanye nn mkuu ?
Na km ingekupo si ingekuwa inanipa option wakat naiwasha window ipi niitumie?
Nenda my computer nenda kwenye hiyo partition uliyo install windows 8 then right click nenda properties tafuta Disk Cleanup, then clean hyo windows 7Nini nifanye mkuu
Samahani mkuu nmeshaingia my computer n inaletaNenda my computer nenda kwenye hiyo partition uliyo install windows 8 then right click nenda properties tafuta Disk Cleanup, then clean hyo windows 7
Nashukuru mkuuAcha kuwa mbishi sikiliza unachoambiwa kama ingekuwa unafahamu c ungekaa huko huko na ujuz wako
mbona tena swaga za kike mustapha? eboo kweli kidume na midevu yako unadhubutu kusema mkeo/mademu zako wasemeje tenaW 8 kubwa wewe ebooo
Ahsante mkuu nmekusomakama imepungua total storage (na sio free storage) inamaana kuna partition ya tatu ambayo wewe huioni. hio partition huwekwa na windows kuanzia 8 mpaka 10 inaitwa recovery partition. hapo oem wako kama hp, dell, lenovo etc weanaeka mafile muhimu incase jambo baya likitokea hio recovery itakusaidia kuokoa pc. mfano windows imecorupt recovery itareplace corupt files.
unaweza tumia software yoyote ya partition kufuta hio recovery na kurudisha gb zako kama unataka
Basi tuwe serious mtu akiwa anaomba msaada asaidiwe kwanzambona tena swaga za kike mustapha? eboo kweli kidume na midevu yako unadhubutu kusema mkeo/mademu zako wasemeje tena
We uache kufuatilia comment zangu kwan ametukanwa acha panicmbona tena swaga za kike mustapha? eboo kweli kidume na midevu yako unadhubutu kusema mkeo/mademu zako wasemeje tena